Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili...
Stori zilizopo kwa sasa huwenda ndoa ya Majey na Lulu ipo mbioni kufungwa mtu wa kwanza kuweka wazi hilo ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior...
Mzee Abdul Juma amemtaka Diamond Platnumz abadili jina aache kutumia jina la Abdul Juma badala yake atumie jina la anayedaiwa kuwa baba yake yaani Nyange Salum.
Utaratibu wa kubadili jina upo...
"IBRAHIM CLASS" THE MOST DECORATED BOXER IN TANZANIA,BINGWA MPYA WA WBF.
Leo 16:45hrs 30/01/2021
Ibrahim Class ndiye bingwa mpya wa Mabara,World Boxing Federation (WBF) super featherweight...
Habari wana JF.
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka wasanii mbalimbali wameachia nyimbo zao.Wao wenyewe wanaziita za kufungia mwaka.
Mmoja kati ya wasanii walio achia wimbo ni Diamond Platnumz...
Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.
Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa...
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga...
Wasalaam wana jamvi,
Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala...
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki...
Hakuna kitu. Hapo
Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu
Anaweza tumia dk 5 watu hawajacheka... not only watu.. mimi mwenyewe sijacheka
Sijui sababu nawaangalia sana...
Kwakweli wanajamii najiuuliza kuhusu huyu mtu anaitwa Isaac Ndodi!
Huu umaarufu ni wanamnagani alio nao?
Au sijui ni ushamba, au labda nifikiri kuwa watu wa Arusha wana magonjwa mengi sana...
Haka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo https://youtu.be/E2mJ-w_sZ2Q
Mabondia kutoka familia moja Kublat Pulev na kaka yake Tervel Pulev wawasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushuhudia usiku wa vitasa utakao fanyika tarehe 29/1 ndani ya ukumbi wa next door jijini...
VS
Wana jamvi Wasalaam
Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa...
Ikiwapendeza hii familia ianzishe family show itakayorusjwa na tv mbalimbali.
Ni familia yenye matukio kila uchao kuanzia mafanikio mpaka kashfa mbalimbali.
Ni famila yenye watoto wasiotokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.