Esma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae.
Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua...
habari wadau
nimemuonea huruma sana yule mfanyakazi wa airport. aliyekuwa anazuia asirekodiwe video .. akaambiwa "toka hapa" akanywea kama mwanamke kwa mumewe...
vijana tafuteni hela... heshima...
Nimefuatilia mahojiano ya huyu Mzee Abdul baba yake Diamond katika TV ya Carrymastori. Mzee anajikaza kiume.
Chini katika maoni nimeona comments za visichana na vivulana vya kizazi hiki...
Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020...
NAKUOMBEA kheri afya mafanikio lakini zaidi nakuombea ufunguliwe katika Ban ya America mtani wangu
Heri Ya Siku Yako Adhiiim Baba Keagan
Sent using Jamii Forums mobile app
Pinda awafunika Lowassa Pinda na Ole Sendeka-Makampuni yapitia kwake
MBUNGE wa Monduli mkoani Arusha, Edward Lowassa pamoja na marafiki zake na kampuni binafsi, wamechangisha Sh milioni 34.5 kwa...
Jamani mji haukosi issue huu..
Katika episode latest ya shoo ya Miss Tanzania 2006, Mlezi wa Wana Originali (akina Shishi wanacopy tu), Wema Abraham Sepetu iitwayo Cook with Wema Sepetu mgeni...
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai...
Kimsingi Dullysykes ni nyoka mbaya sana kucheza naye ,ni mtu ambaye amesurvive mwanzo kwa ubora wa kazi zake kama julieta ,nyambizi na hi,baada ya hapo akajua kucheza na nyakati.
Alianza na...
Habari,
Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma...
Wimbo mpya wa kufungia mwaka, uliosheeni mashairi mazuri, maudhui ikipambwa na ladha tamu ya sauti iliyoendana vyema na ghunna!!
Harmonize wa enzi zile ndiye huyu sasa! Ni aache tu mitifuano...
Dah! Nimemchungulia huyu mtoto kwenye page yake ya IG akimuwish mdogo ake wa like, Tiffah Dangote, mtoto was star mkubwa afrika DP swaga alizotumia ukilinganisha na umri wake ni noma.... Hakika...
Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona...
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa mtoto mkubwa wa mzee Wayne alipiga mapigo ya kina Miss Eliot, Eve na Queen Latifa mitindo pendwa ya mavazi miaka ya 1990-2005 huko.
Mzee carter anamlea binti...
Akifanya mahojiano na gazeti mwananchi baba mzazi wa msanii diamond platnumz ambemuomba mwanae angalau amkatie bima ya afya kwani Hali yake kwa Sasa sio nzuri. Ilinichukua muda kumshawishi na...
Nianze kwa kuwatakia kila la heri katika mwaka huu mpya watanzania wenzangu na wana JF kwa upekee na mkawe na mwaka mzuri utakaotimiza angalau asilimia themanin kama sio mia ya malengo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.