Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata...
Jionee hapa
Baada kukanusha kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi hatimaye mwigizaji Aunty Ezekiel na mwanamziki Kusah wameweka mambo hadharani kwa kumfanyia mtoto wao arobaini...
ojs entertainments
We do Post entertainment newz in this blog, your welcome
JUL
16
BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA
SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu...
Hatimaye Harmonize hatumii mafumbo tena kumpiga madongo Diamond Platnumz amesikika jukwaani akitaja majina kabisa nanukuu
"Baba na mama ndiyo nguzo ya dunia watunze wote, siyo baba Dangote...
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba. Kiufupi H Baba naye anajipendekeza kwa Harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa...
1. Mama Diamond anasema kuwa, mzee Abdul hakuwa baba mzazi wa Diamond, inakuaje tena (yeye huyo huyo) aseme kwamba, mzee Abdul aliikataa mimba? Alikataaje kitu (mimba) ambacho si chake? Na kama ni...
Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee!
Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani.
Hivi angechukulia majukumu...
AY kamua kurudi shule kusoma international business.....ni jambo zuri lakini mhh chuo alichoamua kuchukulia nondo mbona kama utata.....sijui labda wana JF mna uhakika na hiki chuo...
Juzi kwenye mapunduzi cup huko Zanzibar Harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida...
Umebwengwa na Mpare/ Mchagga, mimba unambambikia Muha wa Kigoma.
Je wewe Ni Nani Kama sio lijidunhauembe?
Mtoto ana miaka +30 ndio unakuja sema huyu baba yako siyo baba yako baba yako Ni...
Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1...
HABARI zilizoshtadi mjini kwa sasa ni kadhia ya mama Diamond kumkana baba Diamond (mzee Abdul) kwa idhlali na taadhira kubwa, kuwa si baba mzazi wa Diamond. Naam hii ni HABARI. Na sisi (kwenye...
Hongera kwake
Kwa kuzingatia ushauri wa mkewe kipenzi ameahidi kutumia siku hiyo muhimu na watoto wenye uhitaji maalumu nchini badala ya kufanya sherehe kubwa na za anasa
Nampongeza sana Ndg...
Tuliona Babalevo akijinadi kuwa watu wanamuonea wivu kisa kanunuliwa gari ya million 26 na Diamond pia alijisifu kulipiwa mamilioo kwenye video ya shusha ambayo bado .kwa msisitizo zaidi akasema...
Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu, amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha mwili wake kuonekana kuzidi kupungua, Wema...
Laiti madereva barabarani wangekuwa wanafungiwa baada ya kutenda makosa basi gari zingekuwa zinahesabika humu barabarani
Ifike mahali TCRA ijikite kutoa adhabu kwa kupiga faini ndefu na kufungia...
Bila shaka umekutana sana na picha hii katika mitandao, mfahamu mhusika wa picha hiyo. Nelson ni mkazi wa Kagiso, Krugersdorp nje ya mji wa Johannesburg, amezaliwa April 6, 1987 akiwa ni mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.