Instagram ya Ronaldo: Atengeneza Tsh Bilioni 2 kwa kila post ya udhamini
KARIBU
Nyota wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, ametakiwa kukodisha akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwa dau...
Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo.
NB...
Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji...
Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram.
Mpaka sasa post hiyo ina likes...
Nyota wa muziki Ali Saleh Kiba 'Ali Kiba' anatarajia kuachia Album yake mpya mwaka 2021.
Itakumbukwa kuwa King Kiba mwaka 2018 alisema kuwa albamu yake ijayo iliyoshindikana kutoka mwaka huo...
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia...
Huko insta diamond kaisafirisha familia yake nzima kwenda Dubai bila kumsahau Mr shamte kipoozeo cha mama na dangote, Na Nzi mbeba mikoba nae muuza mchele mjini hapa shogaangu Jumalokole2 nae yupo...
Baada ya kundi la yamoto band kusambaratika kutokana na madogo kutumika kwa mkubwa fela p na Temba bila kufaidi jasho lao hata zile nyumba walizojengewa mkubwa fela kukataa kuwapa.
chanzo cha...
Wasalaam wana jamvi.
Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.
Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi...
Habari wadau!
Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike?
Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele...
Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya.
Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo...
Inasemekana Mama Clinton alishinda mpambano huo!
Another kind of presidential race
By Gabriel Gatehouse
BBC News, Tallinn, Estonia
Saturday, 17 May 2008
As Hillary Clinton battles to...
Mwaka jana Michael Lukindo aliacha kazi Mjengoni kwa madai anataka akafanye muziki, lakini mwaka umepita sijaona huo mziki akifanya na matokeo yake, labda alikuwa na sababu ingine ambayo hakutaka...
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming...
Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK)
Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha...
Jumba hilo kubwa la kifahari lililojengwa katika eneo lenye ukubwa wa ekari 2,700, Neverland, Los Olivos, California limeuzwa kwa Mfanyabiashara tajiri aitwaje Ron Burkle kwa Dola za...
Kuna ubishi unaendelea mahali, ubishi wenyewe unawahusu KING OF REGGAE ambaye si mwingine bali ni BOB NESTA MARLEY na KING OF POP ambaye ni MICHAEL JACKSON sasa ubishani uliopo nani ni maarufu...
Kwa Mabeste tunajua tatizo ni pesa; hata yeye anakiri hilo, mbaya zaidi ni kwenda kuishi na aliyekuwa jamaa yake.
Pia hili suala lilimkuta king wa mziki wa TZ Ally Kiba japo yeye anakanusha suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.