Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu jamaa nimemsikiliza nyimbo zake, anajua sana kuimba. Mashairiki yake pia matamu sana.mbona hawiki kihivyo? Mnaonaje uwezo wake?
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Sijali yuko na the so called super star. Najua kuimbisha lazima Jokate nimkamate. Lazma auelewe wimbo wangu. Nitanyang'anya Diamond by any cost
0 Reactions
65 Replies
9K Views
New marriage in town.. ndoa imefungwa mabibo upande wa mama ake careen
0 Reactions
204 Replies
41K Views
Kile kipindi cha kipuzi Kwenye Orijino komedi TBC1 Umefulia kilidhalilisha wengi sana. Mpoki alimuigiza Kama Jengua Muhammed FungaFunga eti kafulia. Huku Joti akimfuatafua na maswali kwanini...
8 Reactions
42 Replies
9K Views
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini? A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja...
26 Reactions
304 Replies
73K Views
Naona kabisa Lavalava kashindwa kufikia malengo ya waliomchukua. Hata Mboso aliyemkuta tiyari kamuacha japo naona majuzi hapa jamaa kaamka, sexy mama ni ngoma Kali. Sisemi ni msanii mbaya...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Namuangalia Rotimi simuishi.......
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Margot Robbie - Dreamland (2019) 720p Format: AVI Resolution: 1280x720 Duration: 0:02:04 Size: 16.5 MB http://nitroflare.com/view/97D7D1C8B1DB779/M.R-Dr(2019).avi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba...
25 Reactions
117 Replies
10K Views
Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Oliver, siku ya Ijumaa ya November 9 2018 jijini Mwanza, Henry amewahi kucheza Simba SC na soka la kupwa katika club...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Kwakweli dunia imeisha , yaan anakabemenda weee , alafu wanajitangaza sana
6 Reactions
111 Replies
27K Views
Subhash C. Patel was born in Dar-Es-Salaam, Tanzania, on August 13, 1946. He received the B. Tech. degree in electrical engineering from Loughborough University, Loughborough, England, in 1968...
1 Reactions
39 Replies
31K Views
Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja hakika alinivutia sana nilikuwa na-drive lkn kutokana na uzuri wake aliojaliwa umbo maridadi mtoto bambata imejazia kiukweli sikuona...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
Wasalaam, Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini . Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram "Ndugu @babutale...
15 Reactions
54 Replies
8K Views
Katika Interview ya Jacky & Millard ayo, Jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyu Jacky mengi hata...
14 Reactions
292 Replies
39K Views
Back
Top Bottom