Mashindano ya taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2020 yamefika tamati leo tarehe 5/12/2020 na Mshindi wake kutangazwa kutokana na maoni ya majaji na wapiga kura. Jina lake anaitwa Rose Manfere na...
Ni miaka 21 Sasa ya legacy mmeiweka industry ya media Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla. Hakika mnastahili pongezi za kutosha. Sio Jambo la kitoto hata kidogo. Wengi walikuja wamepotea...
Natumaini mko wazima. Kwanza nimshukuru Mungu kwa neema zake. Pia nitoe pole kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kuingia mgogoro na wanachama wake nguli waliokipigania kwa muda mrefu. Siwezi...
Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John...
Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza...
Umofia Kwenu wana JF,
Katika kupitapita instagram leo,nimekutana na habari inayomuongelea "Bilionea wa madini" Ibra Mwakichui behind his sucess kwamba alitoa kafara mdogo wake na kumfanya mama...
Aisee huyu jamaa alivuma sana miaka ya 80 but sadly I never got to see him. Kulikuwepo na story kibao kuhusu uwezo wake wa nguvu za misuri, mambo kibao yaliongelewa, mfano:
-- Alikuwa anaweza...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11
Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia...
Raisin'to the top by Lost boys,I got 5 on it by Luniz,Go church by Ice cube ft Snoop Dogg and Lil John,Gangstas'paradise & i see you when i'll be there by Coolio,California & do for love,Still dre...
Diamond haina haja ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakakosa ubora na ubunifu. Hiyo ni kutengeneza vitu vitakavyo ishi muda mfupi sana. Na ukweli unaujua kuwa watu wanapenda na ku...
Yaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo...
I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no one to pick me up. I have struggled from ground level with all...
Msanii Hamis Mwinjuma aka mwanafa ameweka wazi kiasi cha pesa walicholipwa na kampuni ya simu iliyokuwa ikitumia nyimbo zao bila ridhaa.
Msanii Mwanafa na AY waliishitaki kampeni hiyo ya simu...
Hello JF:
Msanii wa muziki wa bongo Fleva na CEO wa Lebo ya konde Gang Harmonize wikiendi alijikuta katika hali ya tafrani baada ya kukataza watu kutumia jina la #Kondeboy kwa mchezaji wa Simba...
Nawasalimu wakuu,twende moja kwa moja kwenya Mada.
TUPAC AMAR SHAKUR alizaliwa mnamo tarehe 16 mwezi juni mwaka 1971 ni mtoto wa kiume wa mwanamama AFENI SHAKUR ambaye alikuwa ni mwana harakati...
KAMA ulikuwa unadhani ile ishu ya Harmonize n Sarah juu ya kitendo cha nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya kumposti mtoto akidai ni wake imeisha, pole.
Kwani wazi ni hatma ya ndoa ya wawili hao...
Mrisho Mpoto wa awamu ya JK alikuwa wa moto kweli, kila nyimbo ni fire.
Ila huyu wa sasa toka aamue kuunga mkono juhudi hata sielewi, maana vya kuimba zile tungo zake ni vingi kweli ila yupo...
Vipindi vingi vya miziki ni Bongo Fleva, utasikia top ten ya bongo fleva. Hutosikia wanapiga sebene la Nyosh El Sadat wala Patcho. Ila sasa ikitokea Alikiba kaimba sebene kama Chekecha au Mwanadar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.