Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama kawaida KUBWA LA MAADUI nitachambua kauli yangu kwa kina. Well researched, well written, full detailed. Throw...
18 Reactions
65 Replies
13K Views
Watu wengi walisubiria kwa hamu sana kuona jokate ata post nini kuusu alikiba kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu sana akapost maneno ya lugha ingine kabisa nakuwaacha wambea hoi sasa kwa kua...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Sikumbuki ni mwaka gani,MH TEMBA aliimba mwaka wa shetani na wala sijui aliwaza nini au kitu gani kilimsukuma je nawe ukitaka kuimba wimbo mwaka huu utauita mwaka wa.....?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojipambanua, wasanii watatu waliotikisa mwaka huu 2016 unaoisha ni 1. Darassa 2. Ally Kiba 3. Chegge Acha ubishi, tupe na wewe list yako ya Wasanii unaoona walitamba kwa...
5 Reactions
64 Replies
8K Views
Naimani hii ngoma itakuwa sio mchezo, akiwashirikisha Jah Prayzah na P square. Pia wafanye tour show ya East Africa wafanye show moja Dar, show moja Mombasa na show moja Kigali. Tosha kabisa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu mwanadada wa Bongo Fleva aliyewika kwa wimbo wake wa kizunguzungu,upepo,umependeza,nashukuru umerudi yuko wapi ? Kwa mwenye kufahamu alipo na anafanya nini aseme nimemiss sana uwepo wake...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Ulale pema bk wa TMK mapanga/ ulale pema Steve 2 k/fadha nelly langa/ ulale pema Albert mangwair/John mjema mapacha/ Ni njia Moja tunayoelekea nitafuata/ ulale pema remmy ongala/ kweli kifo hakina...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
WanaJF kuna rumours hapa mtaani na vijiweni kwamba kampuni mpya ya ndege ya "COMMUNITY AIRLINES" ni ya Anthony Diallo naomba mwenye kufahamu atumwagie tupate ukweli. Kama ni yake kapata wapi pesa...
0 Reactions
72 Replies
16K Views
Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio...
4 Reactions
53 Replies
12K Views
Hellow JF, Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fair kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Peter Temba in Moshi Daily News; Sunday,January 13, 2008 @20:03 MOSHI Urban MP Philemon Ndesamburo has purchased a 5-acre plot at Kiboriloni area, to relocate over 1,000 traders currently...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Karume alia mbele ya Kikwete NA Saed Kubenea. Rais wa Zanzibar Aman Abeid Karume, alilia katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijijini Butiama wakati akipinga kuwepo Serikali ya pamoja...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi?? Uzi tayari.
12 Reactions
190 Replies
28K Views
Saivi kama umekuja kuona wasanii wa bongo wanapenda kukaaa sana midomoni mwa watu kuliko kazi zao. Yaani wanafanya mambo wazungumziwe wao na sio kazi zao. Japo kuna namna inawasaidia ila kuna...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Harmonize na konde gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar Mh Abubakar Kunenge kama mlezi wao. Wanapitia njia ile ile aliyopita bwana domo. Sio mbaya lakini.
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu waungwana Ndugu zanguni swali langu kama bandiko linavyojieleza ni kuhusu dada yetu,kipenzi chetu mbunge machachari mh halima mdee mbunge wa kawe Je ana mume kama hana mume kuna...
7 Reactions
71 Replies
22K Views
Mimi nahisi Ali kiba alisema Bro naomba uni manage na mimi,hii management yangu inazingua Sallam atakuwa alijibu pouwa ngoja nijipange
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz amepata dili kutoka shirika kubwa la ndege la Turkish airlines kuwa Kama main sponsor wa show yake ya European tour atayoifanya hivi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom