Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Diamond platnumz ameendelea kujiwekea record mpya katika kiwanda cha music africa baada ya nyimbo yake mpya aliowashirikisha Psquare kupata views laki 3 na zaidi ndani ya masaa 19 tangu itoke...
6 Reactions
106 Replies
22K Views
Mwaka 2017 umeendelea kuwa mzuri kwa nyota wa Tanzania Diamond platnumz. Kupita account take mpya ya VEVO yenye subscribe 14,370 Diamond amekuwa msanii wa kwanza kutoka Africa wimbo wake kufikisha...
7 Reactions
60 Replies
12K Views
Wadau, Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole. Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri. Happy...
5 Reactions
55 Replies
28K Views
Hiv karibuni tuliona Dkt. Magufuli akitoa kofia yake na kumpa Diamond huko Mwanza. Baada ya kupita siku kadhaa tukaona pia akatoa kofia yake akampa Harmonize. Leo hii nimeona Alikiba anaperform...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Jana nimengalia show ya Zuchu na nina maoni yafuatayo: Kwanza, nashauri 'stage show' wake wanapaswa kuwa wanaume kwa sababu aina ya nyimbo zake. Nyimbo za Zuchu ni za mapenzi na iteleta maana...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Inakuwaje wanaJF Kijana huyu Mwingereza Tim Burton mwenye umri wa miaka 33 alizaliwa tarehe 17/09/1987. Anajulikana kwa jina la utani kama Shmee150. Ni car blogger, entrepreneur na youtuber...
5 Reactions
75 Replies
10K Views
Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...! Thread title is clear.. Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream... Yani ni yeye...
24 Reactions
138 Replies
13K Views
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya. Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau inapendeza kuwa pamoja kwa umoja. Napenda kutoa pongezi kubwa sana kwa waumini wa WCM. Natoa pongezi kubwa pia kwa Naseeb Abdul a.k.a Diamond au Dangote. Diamond ametengeneza nembo ambayo...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kupitia harusi ya Kiba Azam tv nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanawake wa mombasa.... 1. Ni wanawake wanaopenda kujisitiri maungo yao yani wanajua thamani ya miili yao...ushuhuda angalia...
17 Reactions
157 Replies
27K Views
Mkurugenzi wa CMG Joseph Kusaga amesema yeye siyo mmiliki wala mwanzilishi wa Wasafi media. Amezungumza hayo leo akihojiwa na XXL. Kauli hiyo imekuja kutokana na pongezi ya Adam Mchomvu nanukuu...
18 Reactions
103 Replies
14K Views
Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music Facebook Twitter Email The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Salam wakuu Nimepata nafasi ya kusikiliza Wasafi FM kwa siku kama mbili sasa baada ya kuwashwa kwenye mkoa niliopo, na nimeweza kusikiliza vipindi vya asubuhi kabisa(goodmorning) na cha...
22 Reactions
54 Replies
6K Views
Mjasiriamali na mwanamitindo maarufu, ambaye pia ni mjane wa aliyekua mfanyabiashara maarufu , the late Reginald mengi , Kupitia ukurasa wake wa Instagram , ame share video inayoonyesha mafuriko...
4 Reactions
153 Replies
20K Views
Leo ni usiku mzuri kwa mashabiki wa ndondi duniani, kwani tunatarajia kushuhudia mapambano mawili ya kuvutia ya Heavyweight, la kwanza ni kati ya vijana wamoto kutoka Uingereza Daniel Dubouis...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kutokana na kifo cha utata cha mfanyabiashara Billionare kutoka pande za Zimbabwe, Genius ginimbi, Habari za chini ya Kapeti zinadai, Tajiri huyo alikua anafuga joka kubwa sana nyumbani kwake...
11 Reactions
239 Replies
35K Views
Habari Wana jamvi; Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini. Pia imedhihirisha ni kwa...
8 Reactions
271 Replies
21K Views
Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha...
18 Reactions
83 Replies
11K Views
Muigizaji wa Filamu Sylivester John Stallone Rambo Anatajwa kua na sura pamoja na rangi yenye asili ya Uarabu,Uzungu,Uasia, nk. Yaani Rambo anaweza kuchangamana na waarabu nakuonekana mwarabu...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Je unapenda kujua mazombi yanaishije? Usipate taabu, angalia mifumo ya maisha ya wasanii wetu. Asilimia kubwa ya wasanii hao si rahisi kutenganisha mitindo ya maisha yao na mazombi, kimsingi...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom