Dudu baya kizimbani kwa kutoa lugha chafu.
-
Mwanamuziki wa Bongofreva, Godfrey Tumaini maarufu 'Dudu baya' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na...
ingia kwenye link kisha vote
https://www.mtvmama.com/info/aljvas/vote
jamani mjitaidi kuvote ata kama uwapigii wengine akikisha umempigia mate wangu zuhura aka zuchu
category ni breakthrough act
Nguli wa habari Larry King kwa habari zilizopo ameshikwa na umauti akiwa na umri wa miaka 87. Kwa taarifa zilizopo ikidaiwa covid -19 alipokuwa akipatiwa matibabu Los Angeles.
Anakumbukwa kwa...
Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa
Na unadumu hauchoshi kabisa.
Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu..
Kuna wale
Ambassador of Jesus Christ...
Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo.
Moja wapo hii hapa.
Diamond Platnumz ana umri wa miaka 31 kwa sasa. Ni mtu mzima. Ni baba wa watoto wanne wanaotambulika.
Wawili kutoka kwa cheupe wa Uganda, Zari The Boss Lady; supermodel Hamisa Mobetto anaye...
Without any vague , Alikiba has achieved to maintain the game of Bongo fleva almost seventeen years without any opponent.
This new song Infedile which mixed by French words is very untouchable...
Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman", Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni...
Aiseee kweli kuna watu wameishi hapa Duniani, hii clip ni ya MJ akifanya shopping mitaa ya Las Vegas , shopping anaifanya kwa kunyoosha kidole tuu , hajali kuhusu bei, yeye ni mwendo wa kunyoosha...
Ricardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na Msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa Diamond ni funiko bovu.
Sijui...
Na hii nasema ni ukweli wa dhati kabisa, mnyonge mnyongeni lakini haki yake msimyime.
Kwa binti mnenguaji huyu, lile vazi ni kazi ya sanaa na ubunifu kwa ajili ya jukwaa.
Kwanza ni vazi...
Ama kweli wadada wanao tembea na viben ten wanakumbana na mitihani mizito sana ,na mtihani mkubwa ni kudhalilika kimaumbile.
Hilo limejidhihirisha hata kwa Mose Iyobo , ishu ilikuwa ni hivi, kuna...
Wadada tokea wapigwe chini wamekuwa wakitumia nguvu kubwa kuprove wapo ok,
Hasaa uwoya ndio anataka watu waamini bado mbichi, baada ya kumpoteza ndiku, mara awee picha ya kigodoro mara hivi mara...
Mara baada ya msanii Shamsa Ford kumpost Irene Uwoya na kumsifia kwamba ni mzuri kuliko msanii yeyote yule wa kike wa bongo muvi , amepokea matusi ya nguoni DM kutoka kwa wasanii wenzake kitendo...
Mwigizaji wa South Africa Lindiwe Ndlovu (44) amefariki akiwa nyumbani kwake.
Familia imethibitisha lakini haijataja chanzo, Lindiwe aling'aa sana kwenye michezo ya kuigiza kama Isidingo na...
Habar Wana JamiForums,
Kwa mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu nyimbo ya Ali Kiba Infedere na Mkasa wa Mzee Abdul ila suala la Kiba tuliache kwanza
Nilikuwa napenda...
Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania.
Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili.
Lakini kwa watu walio kwenye industry ya...
Leo kupitia conference aliyoifanya, Mwanamzik Diamond aligoma kabisa kuzungumzia scandal ya Baba yake na Mama yake kuhusu ubin wake, na kusema kuwa hayo mambo ni ya chumbani hayupo kwenye position...
katika move inayovutia kwa hisia kalim ya wild flower startimesm uwezi ukakuta maigizo yote yanaangukia kwenye mapenzi ya kuonyesha wanakulana kila saam watu wanatengeneza hisia lakini kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.