Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano...
Diamond ilitakiwa atulize kichwa katika uandishi wa mashairi, nchi za wenzetu wanapenda songs with content and well understandable lyrics, fluent language,
Nasikitika sana kuona msanii wetu...
Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni.
Soma Pia: Yanga SC 0 -...
Hatimaye ugomvi wa ruge mutahaba na mh joseph mbilinyi(sugu) umekwisha baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya waziri wa habari ,chimbi na mbunge Tundu lisu source ni clouds fm
Joseph...
Kwa uchungu mzito Zamaradi Mketema aomboleza msiba wa ghafla wa paka wake baada ya kushambuliwa na mbwa
"Sijawahi kutegemea kama nitaumia hivi kwa kiumbe tofauti na mwanadamu, Paka wangu anaitwa...
Wakuu.
Ni wazi kuwa tangu mwaka huu uanze Zuchu hana any solid projects kwenye catalogue.
Nyimbo zote ambazo amekuwa akitoa, zinahit kidogo Tiktok, baada ya mwezi zinapotea.
Hii taarifa yake...
Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo...
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.
Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo...
Hii si habari nzuti kwa wale mabazazi wa mujini waliokuwa wanammendea Ivona
watangazaji wa azam tv Ivona kamuntu na Ray nyamwihula kwa sasa ndio couple inayokimbiza kuanzia bongo na Africa kwa...
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.
Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana...
Avunja ndoa ya mkuu wa wilaya kwa kufanya mapenzi na mkewe
Anafanya urafiki na mwenye mke kisha anamgeuzia kibao
Source: Taifa Letu
Mbunge wa ukoba vijijini ccm MH NAZIR KARAMAGI anatuhumiwa...
Salaam!
Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti...
Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa...
Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu
Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho.
Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance...
Hebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi...
Anaandika @stevenyerere2
“Nimekusikiliza mara 100 Sijakuelewa kabisa kabisa Kila saa Nasema hivi baada ya kutolewa baruti Simba Nani alikuokota Kitaaaaa Napata jibu Hers,..
Nikajiuliza Tena Hers...