Stori:Waandishi Wetu
Inauma sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari hii kuwa ile ofisi ya aliyekuwa mwigizaji kinara wa sinema za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘Marehemu...
Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga
Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa...
Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana...
Naomba kuuliza swali:
Je viongozi wa juu kama rais, Rais wa Zbar wakitajwa kwenye kashfa wana JF mnaweza kuwashadidia hadi wajiuzulu?
Mfano kama ripoti ya Richmond ambayo haikusomwa, imevuja...
Mafisadi sasa wahujumu TRA bandarini, mipakani
2008-05-05 09:06:28
Na Patrick Chambo, PST, Kilimanjaro
Mradi wa kuhakiki bidhaa ziingiazo nchini wa Tiscan unaomilikiwa na Kampuni ya...
wanahabari kwangu mie hii ni vibweka.source habari leo
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kwamba kuibuliwa kwa masuala ya rushwa kwa viongozi wa serikali kulikofanywa na vyombo vya habari...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mimi kama mwana jamii forum niko mbion sana kuachia ngoma yangu mpya na ya kwanza kabisa maana sijawah achia...
Get rich or die trying
Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari...
DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI
Na Luqman MALOTO
INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman...
KUMBUKUMBU YA MWANAMUZIKI SALUM ABDALLAH:
Tarehe 18 Novemba mwaka huu ilikuwa ni siku ya Kumbukumbu ya Miaka 55 ya kifo cha mwanamuziki na kiongozi wa Cuban Marimba band ya Morogoro Salum...
Wasalaam wana jamvi.
Nikiwa kama mdau wa sanaa nimekuwa nikifatilia mwenendo wa Msanii Queen Doreen tangu aonekane ni mmoja wa wasanii ndani ya lebel ya WCB chini ya kaka yake Diamond...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki
kipindi bado yupo...
Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo...
Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii
-------
Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi...
Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?
Celine Dion
Whitney Houston ( Rip)
Mariah Carey
Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Afrika Kusini imetangaza kuondoa hati za utambulisho wa uraia wa Chidimma na Mama yake Oktoba 29 2024, kutokana na kushindwa kutoa maelezo ya kwanini wabaki na hati...
Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia...