Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa...
11 Reactions
80 Replies
3K Views
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni...
7 Reactions
121 Replies
6K Views
Aliyekuwa msanii wa kaole MZEE PWAGU amefariki dunia nusu saa iliyopita katika hospital ya Amana jijini Dar es salaam. Habari kamili mtaendelea kufahamiswa....! MUNGU amlaze mahari pema...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Kuch Kuch Hota Hai ni filamu iliyotolewa mwaka 1998, iliyoongozwa na Karan Johar ,imeigizwa na mastaa kadhaa kama vile Shah Rukh Khan aliyeigiza kama Rahul Khana , Kajol (Anjali Sharma) na Rani...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Nyota wa rap wa Marekani, Young Thug, ameachiwa kutoka gerezani jana Alhamisi baada ya kukiri mashtaka ya kushiriki katika uhalifu wa genge, kumiliki silaha, na kutumia dawa za kulevya. Kesi hii...
4 Reactions
10 Replies
673 Views
Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat. Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga. Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kabla ya CHIEF GODLOVE Kutamba Mitandaoni Kulikuwa na Mwamba Mmoja Aitwaje BILLIONAIRE SHILLAH (Nadhani Huyu Hata Watoto wa Elfu 2 Wanamjua), Huyo SHILLAH Alituaminisha kwamba Yeye ni Miongoni mwa...
1 Reactions
3 Replies
536 Views
Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji. Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani. Lugha iliyotumika ni kali...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
25 Reactions
75 Replies
2K Views
Huu ndio wasifu wa Ibrahim Pasha anayeigiza katika Tamthilia ya Sultan kupitia King'amuzi cha azamtvtz ndani ya chaneli ya Azam Two. Jina lake halisi ni Okan Yalabik.alizaliwa tarehe 13/12/1978...
14 Reactions
50 Replies
25K Views
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game. Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we...
8 Reactions
85 Replies
3K Views
Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi. Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka...
8 Reactions
57 Replies
8K Views
Msanii Ali saleh Kiba Alimaarufu Kama Alikiba Kutoka Kigoma Anasifika Kwa Uwaandishi Mzuri licha Ya mara nyingi Kutofuata Urari wa Vina Na Mizani katika mashairi Yake. Mnamo Mwaka 2006 aliachia...
15 Reactions
33 Replies
2K Views
Yeeeerrrrreeeeh Mwana masumbwi mmarekan mstaafu Floyd Mayweather aitembelea tena taifa teule (Israel) kwa mara ya nne tangu October 07 2023. Safari yake hii ya nne kawatembelea wanajeshi wateule...
11 Reactions
16 Replies
722 Views
Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Msanii maarufu wa Sanaa za Maonyesho, almaarufu Mzee Jangala apewe heshima yake kabla ya umauti. 2. Miaka ya 1990 Mzee Jangala ametikisa sana RTD. NB: Aenziwe na kupata stahiki zote - ikiwemo...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
14 Reactions
174 Replies
27K Views
Back
Top Bottom