Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz Lord Eyez baada ya kukamatwa akiiba Muda mfupi uliopita Ommy Dimpoz ametweet picha hiyo juu na kuandika maelezo haya:
0 Reactions
65 Replies
16K Views
Blood Vessel is a thriller about escaping one’s circumstances, it turns into an actual horror story. Survival of a brutally realistic kind Blood Vessel is a movie that deals with survival in a...
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Video ya wanamuziki Nandy na Billnass wakiwa wako faragha wakipapasana kimahaba imevuja na kusambaa sana mitandaoni. Wawili hao ambao wana historia ya kuwa wapenzi wameonekana wakiwa kitandani...
3 Reactions
364 Replies
105K Views
Huyu anaitwa Baba , Muheshimiwa, Mkuu nabii George Davie Kwa Arusha yuko Kisongo huko. Sadaka anazikusanya hasa Lakini anarudisha Kwa waumini wake Utasikia katikati Ibada inasimama show inaanza...
14 Reactions
64 Replies
2K Views
NI STORY YA UTOTO MWINGI NA UPUUZI MWINGI: Binti anaitwa Jania Meshell Alikuwa mpenzi wa rapper anaeitwa nba youngboy na pia alifanikiwa kuzaa nae. Baada ya kuwa wameachana. Binti huyu...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Jamani mimepokea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa huyu mtoto....Mungu akutie nguvu Juliana... sote safari yetu ni moja... Huu ugonjwa unatesa jamani, have been battling with it on and off...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Yupo wapi Arme. Last time photos surfaced alikuwa teja. Did he get help?
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na...
1 Reactions
10 Replies
712 Views
Hivi karibuni kumekuwa na mashindano kila mahali yakibeba jina la Rais Samia, ambapo matukio kama haya yanaangaliwa kama sehemu ya mikakati ya kuimarisha mahusiano na wananchi kuelekea uchaguzi...
1 Reactions
7 Replies
728 Views
Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada. 1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube...
5 Reactions
77 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na mijadala mitandaoni kua Rayvany anaimba nyimbo zake kwa mfumo/mtindo uleule kitu ambacho kinasababisha watu kutomuelewa msanii huyo Mfano hio post ya X...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Jamani mdogowetu amefunguka kuwa anatafuta mwanaume wa kumuoa Vijana mpooo sio mnasema hamna wanawake hamna wanawake, ee Wema ana hela zake, ana maisha yake...
1 Reactions
253 Replies
30K Views
Mcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua...
13 Reactions
255 Replies
55K Views
Wema sepetu ametoa mil 13 cash leo mahakamani kuzuia msanii kajala asiende jela kwa miaka 8, baada ya hukumu yake kutolewa leo..halla! mamy sepetu. Hukumu ya Kajala ni kwamba kesi ya kwanza...
6 Reactions
177 Replies
26K Views
Habari zenu wanabodi. Kama mtakumbuka vizuri, mwaka 2017 Diamond alianzisha platform ya kuuza muziki ya kuitwa Wasafi Dot Com ambapo watu walitakiwa walipe kiasi cha 300 ili waweze kununua...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa...
12 Reactions
198 Replies
31K Views
1.Jb jerusalem 2.jux 3.piere liquid 4.omy dimpoz 5. Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
10 Reactions
48 Replies
2K Views
PRODUCER LAMAR Producer Lamar amesema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani nae kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Sijui nani ndio mmiliki halali Wale wapinzani wa jadi wa mda mrefu ambao kwa sasa wameweka tofauti zao pembeni wamezaliwa tarehe 1 mwezi wa 5 source, Clouds FM
3 Reactions
156 Replies
52K Views
Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo. Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for...
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Back
Top Bottom