Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wanaita 'star look' right? YES! ”Leo kwenye ustaa simo kisa sina mwonekano!” ~Msodoki. Sikuwahi kuwaza hili, japo hisia tu na kuona kila 'msanii' anahangaikia mwonekano fulani. Iwe ni msanii wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana...
4 Reactions
103 Replies
11K Views
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia...
5 Reactions
290 Replies
78K Views
Producer wa muziki Bongo, S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15.
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wimbo ulivuma kitambo nimemkumbuka huyu dada leo.
12 Reactions
94 Replies
10K Views
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa...
30 Reactions
87 Replies
5K Views
KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA. Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa...
3 Reactions
6 Replies
993 Views
LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection...
3 Reactions
5 Replies
492 Views
Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma, 1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu. 2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza...
16 Reactions
34 Replies
2K Views
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI. Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake...
5 Reactions
7 Replies
702 Views
Mpenzi wa zamani wa TigerWoods, EricaHerman, amefungua kesi Mahakamani akitaka kulipwa Dola Milioni 30, baada ya kufukuzwa nyumbani walipoishi wote kwa takriban miaka 6. Erica amesema Woods na...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya interviews za Dudubaya. https://www.youtube.com/watch?v=S9kF6XQbr_E
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
5 Reactions
19 Replies
640 Views
Ni zamu ya Irene uwoya kutunukiwa tunzo ya u BOSS LADY apa bongo baada ya aliyekuwa akimiliki tunzo hiyo mwaka Jana wema sepetu kuangukia pua kama sio kichwa na kufulia , awali tunzo hyo iliwahi...
3 Reactions
645 Replies
67K Views
Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii, Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla...
4 Reactions
8 Replies
721 Views
Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron...
3 Reactions
6 Replies
731 Views
Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Unamjua "KANYABOYA"? Kanya Boya alikuwa bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Burundi. Bondia huyu, jina kamili Felix Kanyaboya alikuja Tanzania kati ya Miaka ya 1986/1987. Alikuwa anafikia Hotel za...
7 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwa dakika 20 tu nilizomuona akihojiwa Cloudstv 360 on Saturday hivi punde tu huyu Dada Mjasiriamali na Mwanaharakati Carol Ndosi si wa ' level ' ndogo na ya Kiswahili Kiswahili bali ni Dada...
12 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwenye pen game hakuna msanii wa kike wa bongofleva amewahi kufikia uwezo wa Zuchu toka bongofleva izaliwe nasema hakuna. Jide ni msanii mkali, anauwezo mkubwa kafanya hitsong nyingi namheshimu...
8 Reactions
118 Replies
11K Views
Back
Top Bottom