Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa
Msanii Grace...
Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya...
Diddy ni nani na anatuhumiwa nini?
Sean "Diddy" Combs kwenye hafla ya Met Gala ya 2017 huko New York
4 Oktoba 2024
Ni nguli wa muziki aliyefanikiwa sana, Sean "Diddy" Combs, lakini sasa...
Davido, msanii maarufu wa Nigeria mwenye uraia pacha wa Marekani na Nigeria, amejikuta kikaangoni huko mitandaoni baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura nchini Marekani na ku-share furaha yake...
Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa.
Ila kwa sasa naona Nandy...
Mwanamuziki Rehema Chalamila maarufu kama ‘Ray C’ ameandika maneno yaliyowashangaza wengi huku yakiwaacha wengine vinywa wazi kwa ujumbe aliomwandikia Mkurugenzi wa Vipindi Clouds Media Ruge...
Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake.
Quincy Jones alikuwa mtayarishaji...
Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa.
Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa...
Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu.
Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani...
Mega hitsong ya Juma Nature ni inaniuma sana.
Kwenye ule wimbo nature ameelezea mapenzi yake na mwanamama Sinta.
Kuna mstari anasema alikuja kwangu usiku. Usiku huo anaozungumzia Nature ni...
Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso.
Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu...
-Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃
-Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora zaidi kwenye historia ya...
Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Mm mpakwa mafuta wa Bwana nimeona niwashauri ili roho zenu zisiende jehanamu
Mda huu mpka December mtubu kama unajua wewe n msanii
January mpka March kama n...
Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii...
Rasmi kampuni ya Adidas imetangaza kufikia makubaliano ya nje ya mahakama na rapper Ye kwa lengo la kumaliza mizozo yote ya kisheria iliyokuwepo baina yao.
Kiongozi wa Adidas, Bjorn Gulden...
Rapa na Mfanyabiashara #YE na kampuni ya kuunda Mavazi ya #Adidas wanaripotiwa kufanya mazungumzo ya kurudisha ushirikiano ikiwa ni miezi michache tangu kuvunjika kwa mkataba wao baada ya Kanye...