Hivi wale wakongwe wa muziki safi wako wapi
Eti akina marlaw na goma la
busu la pink
Akina matonya ,zanto n.k
Wapo wapi Leo hii mziki mtamu hakuna tena daaah🙀🙀🙀😫😫😫
Kulikuwa na taarifa za muda mrefu kuwa msainii wa reggae wa Afrika kusini, Senzo Mthethwa, ameuawa na marehemu Lucky Dube. Senzo aliyepakua album nne: "Nothing But Prayer", " Irene", "Worshiping...
nimetoka kujikumbusha enzi zetu ,wakati muziki ulipokuwa muziki kweli, kwa kusikiliza hizo nyimbo tatu za mwamuziki sahlomon. huyu jamaa alikuwa anajua bwana, tofauti na muonekano wake na...
Wana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana...
Mtangazaji bora kabisa wa EA radio David Rwenyagira hatimaye naye katua wasafi FM,
Jamaa ni moja ya watu vichwa kabisa alikuwa akitangaza kipindi cha The Drive, ndinga mpya town
habari zenu wadau wa jf hasa jukwaa hili? kuna jamaa mmoja alikuwa hot sana kwenye bongo fleva, nilimfahamu kwa nyimbo zake kama ELIMU MITAANI, SAUTI YA GHARAMA (ft. mez-B), INGEWEZEKANA (ft. ray...
Na. M. M. Mwanakijiji
Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na...
Hii wiki imeanza kwa kishindo upande wa Kiwanda cha media baada ya Wasafi Fm kufanya utambulisho wa watangazaji wa kipindi cha michezo cha Sport Arena, utambulisho uliojaa manjonjo na mbwe huku...
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia...
Jerry Slaa ni miongoni mwa vijana maarufu sana tanzania kutokana na mafanikio yake kisiasa,amekuwa role model wa wengi akiwemo mm.
jamaa tangu uchaguzi uishe amehadimika hata kwenye vyombo vya...
Wasalaam wakuu baada ya muda mrefu Platnumz kutokukanyaga Mbeya, tarehe 25 anakuja kusherehekea ten years of Platnumz na wanambeya
Hii inasemekana ni kutokana na jamaa kuidis Mbeya kuwa hakuna...
Mwaka 2005 lilifanyika shindano kubwa lililobatizwa jina la Mfalme wa Rhymes chini ya mdau, mmiliki na Mkurugenzi wa magazeti ya Global Bwana Shigongo. Shindano liliendeshwa na magazeti kwa kuweka...
Msanii wa filamu Shamsa Ford amedai vijana wengi wa kiume wa Dar es salaam ni chawa, wambea na vibenten kwa kuwa walikosa elimu ambazo zingewawezesha kwenda kushindana kwenye soko la ajira...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nmefuatilia hawa manguli wawili kwenye muziki wa kufokafoka R.O.M.A (Rhymes Of Magic Attraction) na KING KAKA aka Rabit aka rhymilionear na nyimbo zao mpya...
Habari wakuu,
Nimekuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha supa mix cha East africa Radio kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kipindi hiki kinatangazwa na Zembwela (mchekeshaji wa zamani) na...
Wasalaam wana jamvi
Katika moja ya changamoto kubwa kwenye biashara ya muziki na burudani kwa sasa ni wasanii kuweza kuwafurahisha mashabiki mwanzo wa show hadi mwisho hata kama msanii hana wimbo...
Wakati fulani marekani Robin Givens aliwahi kutajwa kuwa ndo the most hated woman in America, enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha Mike Tyson kuchanganyikiwa, hasa aliposema aliolewa...
Wasalaam wakuu natumaini ni wazima wa afya tele,twenzetu kwenye mada novemba 9 Ilikuwa ni grand final ya wasafi festival in daresalaam nikili kuwa tamasha lilikuwa na muamko mkubwa Sana japo kuwa...