Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu.
Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana...
Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza...
Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu...
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa...
Wakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums...
Kwa wanaojua ladha ya muziki...vipi ingefanyika production ikiwaunganisha wasanii Hawa wawili...Simi(Nigeria) na Saida Kalori(Tanzania)
Audio production ifanywe na Mika Mwamba na Maneke
Sent...
Katika jamii yoyote ile ya watu, kuna baadhi ya watu ambao ni mabingwa wa kung'ata na kupuliza , akiwa na wewe atakusifia na kukupa kila aina ya sifa na kujifanya ni mwema sana kwako na kuwaponda...
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye...
Kunaile tabia ya kutoa comments kwenye kurasa za kijamii hususani kwa mastaa haswa pale wanapofanya mambo yanayoonekana kuwa kinyume na imani zetu mara nyingi unakuta tunawakumbusha utaona mtu...
Wanazengo wapenda ubuyu, embu tujuzane wapenda umbeya. Huyu dada historia inasema aliolewaga. Hivi kimeendaje tena ama ndo mambo ya uzungu. Status ipoje sahiv? Maana tangu aolewage sijawahi muona...
Miezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi...
Bongo star search imefikia hatua ya mwisho yaani final ya season ya mwaka Huu na tumeshuudia wasanii watano wakali wamebahatika kuingia kwenye final ambao ni meshack, Frank, leonard, Patricia na...
Huko youtube wasanii wa marekani kama kina chris brown wakitoaga video, masahabiki huandaa video za uchambuzi aidha kukosoa au pongezi kama kile kipindi salama jabir wa eatv alivyo kua akifanya...
Mh Mbilinyi mimi naamini yeye ndio alikuwa na sifa za kumpokea kijana.
1. Mbunge.
2. Msanii mwenzao
Kivyovyote wangeongea lugha moja inayofanana, lakini nimeshangaa Dr. Tulia ndio mwenyeji.
Kama...
Kutokana na tangazo lililotolewa na mamlaka juzi hapa kuhusu baadhi ya stations za radio hapa nchini kuhusu watangazaji wasio na vigezo kutangaza redioni naona sasa huenda aliekuwa mtangazaji...
Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ambaye alistaafu lakini ametangaza kurejea kwenye ndondi tena, ndio mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.