Hili game linaweza kusitisha mkataba wako wa kuwa superstar ukianza kutoa ngoma kwa kusua sua mashabiki wanahamia kwengine.
Sijui ni kipi kinaendelea lakini Ali amepoa mno, Yale ya "unikome"...
Baraza la sanaa limemfutia msanii Godfrey Tumaini "Dudubaya" leseni, kwahiyo hatakiwi kujihusisha tena na muziki. Mwanzoni msanii huyo alitoa kashfa tofauti kwa kutumia clips za video kwenye...
Hii video ilivyotengenezwa imeniacha mdomo wazi na wala sichoki kuiangalia,
Wanasema kuna vitu ameiba lakini niseme tu kwamba ubunifu uliotumika hapa ni wa kiwango cha hali ya juu sanaa...
Amani iwe nanyi wakuu
Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiama.
Haogopi na ana msimamo. Kawashinda Clouds media sasa anaelekea kuwashinda BASATA na mpaka...
Music industry ina vituko vingi. Kiba anajiheshimu, Konde Boy anatafuta maisha Mondi naye kadhalika, sijui hizi conflict za sisi wasikilizaji zinatoka wapi.
Moja, Pili, msikiti kwa wale wenzangu...
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Kuwa mjanja mdogo wangu.
Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump.
Kuwa makini Diamond.
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.
My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue...
Its without a doubt K. Dot a kid from Compton Cali is a hot rapper and hence has managed kurudisha ushindani katika hiphop game.
Da kid is lyrical, conscious na unaambiwa wakati yuko high school...
Wakati akifanyiwa interview kwenye kipindi Cha block89 Cha Wasafi fm Hemedi amesema yeye apendi kuoga na niliwahi kukaa mwezi 1 na nusu bila kuoga na ninapiga mademu Kama kawa.
Wengi wanadhani mwanamziki Ali Kiba hapendi makuu au hapendi kujionyesha, lakini hili si kweli. Huyu mwanamziki kwanza ni mbinafsi sana, ana majivuno na mwenye wivu sana. Mifano ni mingi kuonyesha...
Kuna msemo wa kiswahili unasema ukifuga chatu uwe na unga wa kumlisha, kwa maana ukiishiwa unga atakugeuza wewe ndio msosi wake.
Hii ni sawa na team ya Wasafi wanavyomuendekeza Dudu Baya aka...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu chanzo cha ugomvi mkubwa unaoendelea chini kwa chini kati yake na mtangazaji Diva The Bawse anayeendesha kipindi cha Ala za roho kupitia...
Na Musa Mateja
Kitendo cha njemba ambaye jina lake halikunaswa mara moja cha kumchezea makalio staa wa Kiwanda cha Muvi Bongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa', kimezua mtiti wa haja na...
Mdogo una shida sana kwa masuala mawaili 1. Udini 2. Uccm
1.Mdogo wangu diamond unasifika sana na sidhani km utashuka leo wala kesho. Wewe ni celebrity unapendwa na wote wakristo kwa waislamu...
ANDIKO LA KUTOKA GAZETI MAARUFU DUNIANI FORBES
LIKIMUONGELEA JACKLINE NTUYABALIWE MENGI NA MAISHA YAKE YA BIASHARA.
Malkia wa Urembo kutoka Tanzania Anayejenga Himaya ya Samani
Akijivinjari...
Mwanamuziki Christian Bella na bendi yake ya malaika bendi hivi sasa wamekuwa matapeli.
Jana ktk mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya,Christian Bella ilikuwa atumbuize ktk Hotel ya Kisasa iliyopo...
kule kulikuwa na chimbuko la vipaji sana hasa wa muziki wa kizazi kipya hapa tz,kuanzia wana chamber squard mashadaz wamashamba, kina aliko,baf markz,dkluu,paco b,magazzine Sijui sikuizi wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.