Diamond amefanya vizuri 2019 hakuna ubishi. Amefanya shows za mafanikio na ameangaliwa zaidi kwenye You Tube kuliko msaanii mwingine yeyote Afrika!!!
Wasanii wa West na South Afrika ambao Mondi...
Msanii Dudu amefunguka baada ya kusikia kufungiwa mziki wake amesema sijapata wala kupokea barua yao so nitaendelea na mziki wangu Kama kawaida mpaka pale nitapopata barua yao alafu pia me...
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi.
Ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram, amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba...
Mnafikiri pesa za kulipa vitu vyote visivyo na maana zinatoka wapi. Dunia nzima hii ndiyo sababu ya kufilisika kwa waburudishaji wengi. Oprah alisema wengi wao hata matumizi na checks hawaandiki...
Wadau,
Gwiji na mfalme wa R&B R Kelly yupo kwenye wakati mgumu kutokana na tuhuma za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto.
Safari hii tuhuma zimemlemea na kutikisa dunia ya muziki ambayo imempa...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakiwa kwenye matembezi ya kilomita tano pamoja na wanariadha wengine...
Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri...
Inauma sana!
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mh. Juma Hamidu Aweso kumbe kazaliwa mwaka 1986?! Dah!
Kama ni kweli ameanza kula maisha mapema sana!
Muigizaji huyo ameyasema hayo Ijumaa hii akiwa kwenye uzinduzi wa kipindi kipya cha Nipe Code ambacho kitaoneshwa kupitia king’amuzi cha @startimestz .
Ali Kiba ni staa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa...
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MWANAMUZIKI KING CRAZY GK JANA ALIONEKANA KWENYE HADHARA KATIKA TUZO ZA KILI.
CRAZY GK ANAKUMBUKWA SANA ALITAMBA NA KUNDI LAKE LA EAST COAST TEAM.
Hongera sana mtu mzima Jay. Kudumu kwenye relationship kwa kipindi chote hicho sio mchezo ukizingatia maneno ya watu kujaribu kuwashusha na kuwaongelea sivyo.
Nimependa Jay na Bey wamefanya...
Kuwa nawalinzi sio sababu ya kuuliwa tu, kitendo chakutoka point A to B ukitembea mashabiki wana weza kukuzonga kukuvutavuta sasa.
Kwa upande wa kiba haitaj kwasababu kiwango hicho kwake...
Haya sasa tangia jana ni missile after missile...
Inavyoonekana huyu Diva alikuwa na hamu sana Platnumz amjibu , maana tangia amejibiwa anarukaruka tuuu mara aseme hivi mara vileee, sahizi...
Yule muigizaji wa kimataifa wa nchini Tanzania ambae majuzi akiongozana na baadhi ya waigizaji wa Dar ametia kinyaa uwanja wa kigali na kufikia kila mtu kuanza kutukana Kinyarwanda
Haikuwa rahisi...
Kwenu wakuu
Huyu msanii nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani usharo mwingiiiii
Nyimbo sio hits tena sio zile zinye pick ile aliyokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.