Achana na story tatu ya Jay moe,nikusaidieje ya Profesa Jay,starehe ya Ferooz,mikasi ya Ngwair au Playboy ya Nikki Mbishi
Huyu bwana anayietwa P the mc ni hatari kwa hizi nyimbo za kughani huku...
Mapendo! Bwana Yesu Asifiwe Amani Iwe Nanyi
Matumaini Yangu Weekend Inakwenda Vyema Wakuu.
Ebana Mm Na Maswali Yakizushi Nimekuwa Nikifatilia sana Show Mbali Mbali Si Tanzania tu Hata Nje Ya...
Shilole na Nuh mziwanda wamedaiwa kurudiana baada ya shilole kutuma picha inayomuonyesha yeye na Nuh Mziwanda wakiwa nwameweka pozi tata lodge
Shilole amedai hajarudiana na Nuh ila wameamua kuwa...
BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly ‘Lynn’ kumbe ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi...
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja...
Kwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ...
Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa...
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed 'Shilole' amesema hawezi kuthubutu kwa sasa kupigana na mume wake Uchebe kwa kwa madai amekuwa na mapenzi ya kupigana yalikuwa ya utoto.
Shilole...
Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda ameendelea kumponda aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa kudai sio mwanamuziki bali ni mcheza shoo.
Muimbaji huyo wa wimbo ‘Jike Shupa’ amekuwa...
Mcheza filamu Zuberi MohamedNiva juzi alijikuta akipata fedheha baada ya kupigana na mwanamke anayesemekana kuwa kama ni mpenzi wake, sakata hilo la aibu lilitokea katika Hotel ya Ndeka iliyopo...
Habari ya jumamosi wakuu.
Najaribu kujiuliza, katika fani hii ya uigizaji Tanzania au maarufu kama Bongo Movie, kuna muigizaji ana elimu ya kiwango cha shahada au zaidi?
Nasikia kwenye Muziki...
Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.
Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na...
Baracka the Prince ametamka hayo wakat akihojiwa na kituo fulan, amesema Kwa sasa ni kumkosea heshima Diamond kumfananisha na Ally Kiba , na hvyo Ally Kiba anatakiwa afananishwe na Best naso ...
Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama...
Tokea mwaka 2012 alipofanyaga tamasha la Diamonds Are Forever, Watu wamekuwa wakimtabiria kuanguka soon! Nauliza hiyo soon 'karibia' haifiki tu? Maana sisi km team Wasafi tushazichoka hizo ndere...
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes [emoji107] nyingi zaidi ya likes
Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.