Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Afande Sele amesema hamjui msanii anayitwa wakazi kwa sura wala hajawahi kusikia nyimbo yake, ni baada ya wakazi kumkosoa kuhusu kauli aliyoitoa juu ya Vanessa Mdee, amesema amewahi kuwa group...
4 Reactions
49 Replies
8K Views
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wakuu. Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua? Muziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Kiukweli bandugu. Hawa wasanii wawili kwa hapa bongo sijaona mtu anayewazidi kwa kuimba live. Maana wengi wanaimba na CD yaani playlist imepangwa kwenye CD halafu anashuka tu.! Lakini show...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam, Kwanza nikiri kuwa pamoja na kwamba Sikuwa mfuasi wa msanii huyu wa singeli, na wala sikuamini Kama aina yake ya mziki ingetoboa na angetoka.... Lakini kwa Mwaka mmoja wa kwanza tangu Juma...
8 Reactions
61 Replies
11K Views
Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group. Lakini hii inaleta tafsiri kuwa...
5 Reactions
51 Replies
12K Views
James Bond Jason Bourne Jack Bauer
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee Kuwa vinywani Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Je!?Umemtambua Nani Hapa Katika Hii pic ? Nitajie Ngoma Zao Tano Tano Kila Mmoja #TBT Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uyu jamaa VP amekuwa kimya sana mbwembwe zake zimeishia wapi
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Mwanadada Faiza ambaye ni mke wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu amefanya kitu ambacho kwa sasa ni gumzo huko...
11 Reactions
597 Replies
113K Views
Nlimpenda sana baada ya kumuona kwenye ile movie ya kanumba ya lost twins..alivoigiza na mvuto wake. Tulitarajia tungekuja kumuona kwenye movie nyingine lakini kimya. Hata hivo sio vibaya...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a Shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye...
2 Reactions
128 Replies
9K Views
Mnakumbuka huyu mbongoflevarist jamani ,yuko wapi?
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Jux amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano, ni baada ya msanii huyo wa kike kusema dada yake Vanessa Mdee amempata mtu wa level zake ambaye ni Rotimi muigizaji wa filamu nchini...
8 Reactions
102 Replies
20K Views
Habari za humu ndani wakuu, Tukiwa tupo katika mapumziko ya mwisho wa mwaka na wengine wakiwa bado wanaendelea na shughuli zao za kawaida siyo vibaya tukapata muda wa kupitia page ya facebook ya...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka tandale anaelekea kuanguakia pua kama ilivyotokea kwa msanii mwenzake Mr nice( Lucas...
26 Reactions
206 Replies
24K Views
Wakuu mambo vipi! Leo natua kwenu kama mgeni wa jukwaa hili (sababu sijawahi post kuhusu masuala ya burudani). Niende moja kwa moja kwenye mada, hoja yangu ninayoiwasilisha kwenu inamuhusu...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?
2 Reactions
64 Replies
22K Views
Back
Top Bottom