Hii ni couple ambayo wakati inaanza wengi haikuwashtua, lakini muda unavyozidi kwenda inazidi kuwa na nguvu za ajabu. Ni swala la muda tu, ila awa ndio Beyonce na Jiga wa Africa.
Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.
Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali...
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia...
Nasikia bibie na baby wake wapo central kwa utapeli, nasikia walimtapeli mtu kwenye instagram ya wema sepetu , watu wa matangazo.... sasa bibie akaamua aji hack apost matangazo🤣🤣, Ila njaa mbaya ...
Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi...
MUIGIZAJI wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema si kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake anaotoka nao kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni.
Diamond amezua gumzo baada ya video yake...
Kutokana na mabalaa yanayomkuta hamisa mobeto na hii caption ya shamsa , je huu ujumbe unaweza kuwa wa hamisa kutokana na matukio kadhaa aliyowahi kumfanyia zari huko nyuma? , ni kweli anayopitia...
Msanii wa Muziki wa Mombasa Nchini Kenya,maarufu kama Nyota Ndogo,ameamua kuachana na maisha ya upweke na kuamua kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu
Kitendo cha Nyota Ndogo kuamua kufunga...
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa...
Nadhani kuna siri kati ya wawili hawa... Diamond na Harmonize... Lakini hata kama ni siri lakini wameonesha ukomavu mkubwa kwenye mahojiano yao na media za bongo
Media za kimbeambea na...
Huyu Binti wa Mhe Mtemvu ambaye amesababisha kufungiwa kwa mashindano ya miss tanzania,
na hivyo kuwakosesha fursa mabinti wengine na waandaaji wa mashindano hayo.
Nimemuona anahojiwa leo kwenye...
Binadamu aliyeumbwa na Mungu ana haki ya kuheshimiwa. Ikiwemo kuheshimiwa rangi ya ngozi yake. Hii ni haki ya kikatiba katika nchi yetu ya Tanzania.
Mtanzania Juma Lokole akihojiwa mitandaoni...
.
.
Miezi michache kadhaa niliandika Makala maalum kuhusu Konde Boy Juu ya uamuzi wake kujiondoa WCB na vitu atakavyotakiwa kuvifanya ili kuweza kuwin soko nje ya WCB, Makala niliichapisha kwenye...
Mchekeshaji na Tv Show host maarufu nchini Marekani Ellen na mkewe Portia walikua nchini Kenya kwa mapumziko baadae wakaenda Rwanda na kukutana na Rais Kagame,
Ellen na Portia wana project ya...
Inasemekana mtoto wa Bibi bomba,alienda kumuomba C.Bella atunge wimbo maalumu kwa ajili ya mama ake mzazi ambaye ni siti mtemvu.
Kwa mujibu wa Le mutuz wa Starlet,mtoto wa siti yupo morogoro
Mkurugenzi wa Lino Agency akichat Live na mashabiki wa EATV kupitia ukurasa wa facebook wa EATV
Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefunguka na...
habari wadau..
nimeona kwenye habari hashim lundenga anaomba serikali imsaidie kutafuta wafadhili wa miss tanzania..
kama yupo humu au jamaa yeyote aliyopo humu amfikishie huu ushauri.
ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.