Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ni nani aliethibitisha wakati huo maana nasikiasikia tu mzee alikazia mezani...who has the details na video clip je?
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Leo niliangalia marudio ya Bongo Star Search ya Jumapili nimeona kabisa huyo Hamisi uwezo wake wa kuimba ni mdogo sana wakati wenzake uwezo wao ni mkubwa. Na amshukuru Mungu kufika hatua ya 10...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu naitaji mwenye nyimbo hizi. 01 Public enemy- "fight The power" 02.sugarhill Gang-"Rapper's Delight". 03.Dr.Dre-"Nuthin But A 'G' Thang" 04.Run-DMC ft/Aerosmith-"walk This way"...
1 Reactions
78 Replies
12K Views
2 Reactions
131 Replies
10K Views
Kwa style hii Mondi atabaki mawinguni miaka 800.. Ukiangalia video mpya ya Harmonize baadhi ya scenes/shots ni zile zile za kwenye nyimbo ya Baba Lao zimerudiwa save to trivial changes. Sasa...
4 Reactions
77 Replies
10K Views
Wasafi media imefikisha mil 1 subscribers ya watazamaji YouTube na kuwa ni media pekee ya tz yenye subcriber wengi kuliko media yoyote ikiwa imeanzishwa muda si mrefu.
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Leo kwenye kipindi cha Friday night kinachorushwa na EATV km kawaida yao ya Kuwaita wasanii na kuwahoji baada ya ma underground kibao kuhojiwa ikafika ZAMU ya ney wa motego na Mimi mars na ney wa...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!! Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
😂😂😂 Kazi ipo.
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kitendo Cha bongo star search kumualika rayvanny Kama guest judge kimewafurahisha wengi nikiwemo mimi.Pamoja kwamba Rayvanny ni msanii mkubwa na mwenyekufanya vizuri lakini rayvanny ana kipaji...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama mnavyojua utafiti unaonyesha Watanzania wengi hawana furaha ya kuishi,basi na ifike mahali waandaaji wa matamasha waige mfano wa clouds,kwamba kuna watu wanauhitaji sana wa kuwaona wasanii...
5 Reactions
82 Replies
9K Views
Msaani mzaliwa wa eneo la Georgia Marekani, David Datuna amekula ndizi iliyotumika katika kazi ya sanaa ya Maurizo Cattelan ambayo iliuzwa kwa kitita cha dola $120,000 sawa na Tshs275,997,147.33...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara, Dar es Salaam alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya...
9 Reactions
185 Replies
31K Views
Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa. Barua...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
BADO Kenya inaendelea kujisafisha kwenye suala la skendo za matumizi ya dawa za kuongeza nguvu kwa wanariadha wake. Sheria za mchezo wa riadha zimekuwa ngumu wakati huu kwani wanariadha wakorofi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Napita pita mitandaoni asubuh hii naona picha za uzinduzi wa tigo fiesta Mwanza,kiukweli haishtui hata kidogo halaf haina mzuka hata wa kuwa curious kilichojiri huko,je kwamba Watanzania...
0 Reactions
31 Replies
41K Views
MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones. Katika kipande cha video kinachosambaa...
15 Reactions
503 Replies
111K Views
Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sana jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi...
12 Reactions
96 Replies
17K Views
ALI MUFURUKI Chairman & CEO Infotech Investment Group Mr. Mufuruki graduated in 1986 with a Bachelor of Science degree in mechanical engineering design from The Fachhochschule for Technology and...
1 Reactions
68 Replies
28K Views
Back
Top Bottom