Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hey Guys,,,, okay,,,fresh Hakuna asiye jua jinsi Wasafi festival ilivyo kuja kwa nguvu mpaka kupelekea kuwatia mashaka clouds na Fiesta yao. Ile hali kwa hali ya kawaida ilikuwa ni tishio kubwa...
19 Reactions
77 Replies
13K Views
Kulingana na soko la muziki kukua bongo imechangia uwepo wa waongozaji wapya wa video za muziki kwa kasi. Mimi top 5 yangu ni hii 1.Director Flex 2.Dir KAJALA 3.DIR SNIPPER 4.DIR JOMA 5.DIR...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hip hop lovers wamempoteza mkali mwingine leo maarufu kwa jina la Juice wrld. ardhi imejitwalia udongo wake ... Tujikumbushe na his hit song All girls are the same. They're rotting my brain...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Diamond usiku wa kuamkia leo kwa masaa ya huko Siera Leone alikuwa na Show kubwa ambayo ticket zote ziliisha na watu 70,000 walijaza uwanja.
23 Reactions
224 Replies
28K Views
Bila shaka kila mmoja anamfahamu kijana huyu kutokana na kipaji chake cha kuimba. Hapa nitawafahamisha mganga wa Diamond Platnumz anaemfanya ang'are kila kukicha. Hivyo hivyo kila mmoja anatamani...
9 Reactions
20 Replies
7K Views
Mgombea Urais katika awamu iliyopita Mama , Hillary Clinton, ametoa sifa kwa rapper Jay Z wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa. Mwanamuziki huyo wa Mitindo ya kufoka alisherehekea kutimiza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona mapokezi ya diamond guinea ya bissau ni makubwa Sana honest nimefurahi kuona jinsi gani mziki unavyopiga hatua kubwa sana.Big up kwake kwa kuendelea kuiwakilisha vizuri Tanzania.
1 Reactions
22 Replies
4K Views
AMKENI… amkeni… amkeni… njooni huku! Habari ikufikie kuwa, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, amefungasha virago jijini Dar na kurejea...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
Anasema sio yeye. Nimeshapoteza mabao yangu bure kabisa kama maneno yake yatakua yanaukweli wowote. Ila natarajia kuingia chumba cha upelelezi wazile part 7 kwa kujiridhisha zaidi.
2 Reactions
119 Replies
21K Views
HII NI MOJA YA CONVERSATION KUHUSIANA NA YEYE BINAFSI KIUFUPI NA JUHUDI ALIZO FANIKIWA; SWALI: Ruge mutahaba ni nani? RUGE: Nimezaliwa Brooklyn, New York, Marekani, mwaka 1970. Primary...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Have you ever wondered where these Socialite Girls Get all the Money that they flaunt in Social Media ----- This is How Socialite Girls like Kina Agness Masogange , Huddah Monroe and Corazon Makes...
1 Reactions
126 Replies
44K Views
Huyu dogo ameshaanza kupotea na kuonyesha makucha yake halisi kwenye jamii, Wiki chache zilizopita alikumbwa na kashfa ya kuwadharau waandishi wa habari wa Kenya, kitu cha kushangaza hakutoa tamko...
6 Reactions
37 Replies
8K Views
Yaani nchi hii kuna watu wanajua mziki mpaka basi.. Yaaani.. Toka nilipomjua ibrahnation sijawahi kuona wimbo wake mbaya..! Ule wimbo Wa nilipize umetoka 2016 ila unaona Kama jana vile... Kuna...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
“First of all nimesikiliza hizo audio. Nakumbuka mwaka jana zilitolewa audio za Wema na Mbowe, baadae zikatoka audio za watu wenye sauti exactly kama ya Wema tukashindwa kujua ukwlei wa zile...
3 Reactions
69 Replies
10K Views
Niliwahi kusikia mtandao wa kijamii pekee anaoingia huyu jamaa ni WhatsAPP, mitandao mingine kuna watu maalumu wanaicontrol, nampa hongera admin wa IG page yake, ukiingia kwenye page yake utaona...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao...
4 Reactions
101 Replies
9K Views
“Nilikuwa na mimba siku ile Aunty Ezekiel ana birthday yake. Kweli Petit alisafiri aliporudi mimi nilikuwa hospitali kama Juma alivyosema, ndio hivyo mimba yangu iliharibika ndio maana hukutuona...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
IDRIS AMPA 'ONYO' BILLNAS Mchekeshaji na Muigizaji Idris Sultan amesema rapa Billanass amuombe sana Mungu yasimkute matatizo kama ambavyo yalimkuta yeye ya kuitwa Kituo cha Polisi maana atapata...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kweli kati ya wadada wenye bidii wema unastahili pongezi umetoka kuwa nyambizi hadi kuwa kipotabo kweli wewe na zari mnajitambua siyo kama msanii moja kutwa eti mahari yake million 20 alafu...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Mwimbaji Hodari wa Bongofleva Dully Sykes @princedullysykes leo December 4 ametimiza umri wa miaka 39, ni Baba wa Watoto watano na kila mmoja ana Mama yake, Mtoto wa kwanza ana miaka 15.. wa...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Back
Top Bottom