Nina huzuni wimbo wa mshumaa wa Alikiba haukuweza kutrend youtube uliishia kushika namba mbili tu nyuma ya UNO ya Harmonize badae Baba Lao.
Nilikua nategemea utashika no.1 lakini figisu hazikuisha...
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya wa muondoko wa Hop Hip, Hamis Mwinjuma maarufu MwanaFa amesema msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania, Rosa Ree amestahili adhabu ya BASATA, hivyo hawezi kujitokeza...
MwanaFa Asema Rosa Ree Amestahili Adhabu BASATA, Hivyo Hawezi kujitokeza kumtetea
"Rosa Ree ni mdogo wangu lakini nafsi yangu itanisuta kama ntaenda kumtetea kutokana na video yake, nafkiri hata...
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga, show off za kitoto na mziki wa big jii.
Mark the date 25...
Nimefuatilia Interview aliyo ifanya Master J Na Refresh Ya Wasafi FM, Kama Master J upo Humu naomba Nikwambie na Niku JUDGE kuwa Wewe huwezi kufanya INTERVIEW na Sio JUDGE Mwenye Elimu Ya Kuwa...
Basi leo tunakumbuka kuzaliwa kwa King Ali Kiba naomba wote wenye mapenzi mema tumtakie neno la Heri Mfalme ukisindikiza na mstari wa wimbo unaoupenda mi naanza kama hivi...
Yule aliyepanda...
Ni zamu ya Konde Boi kila kona. Si ki mashairi vina na midundo tena bali ziara za kuonesha ukwasi, kukubalika na ukaribu na mamlaka zenye nguvu.Tunda limewiva sasa kila mtu analitaka. Mkulima...
Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar.
Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe...
Ni juzi tu ametoka kuorodheshwa katika tuzo za Grammys 2020 akiwa na album yake ya AfricanGiant.
Kwa sasa anafanya vizuri sana. Namzungumzia Burna Boy kutokea pande za Nigeria. Ngoma zake...
WanaJF,
Maisha huwa kuna kupanda na kushuka. Kuna baadhi ya wasanii wamejimwambafai kuwa hawawezi kupanda usafiri wa umma; yupo radhi aombeombe kila sehemu ili apate fedha ya bajaji ajifiche humo...
Nadhani mtakubaliana na mimi mwanamama Zari umaarufu wake hapa Bongo umeanza kufutika; she is no more talk of the town, same to Hamissa Mobetto, washaanza kuwa old skulz.
Nadhani either kutokana...
Pamoja na changamoto zote ambazo mchizi anapitia, lakini akiwa kwa stage, jamaaa ana vibe flani la kukufanya usijutie kiingilio chako. Utampenda!!
Mchizi anakosa attention tu ya kufanya ngoma...
Tanasha Donna Oketch: Mkenya huyu 'anayependwa' na mwanamuziki Diamond Platnumz ni nani hasa?
Tanasha DonnaHaki TANASHA DONA/INSTAGRAM
Mwanamuziki nyota wa Tanzania Diamond Platnumz ametangaza...
Urembo wa binti huyo wa miaka 17 kutoka Awerial lililokuwa likiitwa Lake State Sudan Kusini umewashangaza wengi na hata matajiri wamejitokeza kuomba uchumba.
Kufikia mwisho wa Alhamisi, Oktoba...
Achana na Yemi Alade,Tiwa Savage katika mziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.
Lakini huyu mdada Wa kuitwa Simi. Moja kati ya msani Anayejua sana. Kwenye Sauti hao kina Yemi,Tiwa wote wanasubiri...
Wakuu habari,
Ngoma ya UNO ya msanii Harmonize imeondoshwa kwenye mtandao wa YouTube. Hii imekuja siku chache baada ya kutuhumiwa kuiba mdundo wa wimbo huo na Mtaarishaji wa muziki wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.