Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ninapoona mambo kama haya huwa sijutii kuwa supporter wa Diamond Platinumz. Na hata ninapoona kuna nguvu fulani ya kutaka kumkwamisha huwa naumia sana. Ni vile tu muziki si mchezo wa soka ila...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mtaarishaji wa muziki wa Kenya anayeitwa Magix Enga amemshutumu mwanamuziki wa Tanzania Harmonize kwa kumuibia biti alilolitumia katika wimbo wake mpya unaoitwa "Uno". Katika posti yake ya...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Aliyekuwa Meneja wa Yamoto Band na Meneja wa Mkubwa na wanae, Said Fella 'Mkubwa Fella' amefunguka na kumuonya mmoja wa wasanii wake Mhe. Temba kuhusu aina ya nyimbo na tungo ambazo huwa anaziimba...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Huyo dogo kawa kimya Sana Tangu mwenye mkoa wake kumtaka akaripoti polisi dogo kanywea Sana . Sio kawaida kukauka kwenye social media hasa ukizingatia dogo ana michongo yake ya matangazo kama...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao, Nasibu Abdul ' Diamond ' kwa kutumia neno...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Wadau, muhindi 'steps entertainment' wameshusha bei za filamu zao kutoka shilling elfu 3 mpaka shilling 1000. Huyu muhindi ni mfanyabiashara kama alivyo Joseph Kusaga wa clouds, anaamua hela ya...
7 Reactions
97 Replies
15K Views
Kajala Masanja amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumimu makali hivi karibuni. Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Mpishi wa madilu multysystem ambae aliipika miondoko ya Rhumba ametutoka sio mwingine anajulikana kama Masiya Simaro Lutumba Rafiki wa maestro ruambo makiyadi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Muda huu clouds TV wana onesha supa nyota fiesta mubashara,pamoja na promo ya Instagram watu ni wachache mnoo ukilinganisha na ukubwa wa hii media.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu kijana naona anazidi kushuka mdogo mdogo yani yeye na management yake yoote Ni watu wa ovyo saaana.juzi kaiba clip ya dancer wa Nigeria ambayo walikua wanacheza nyimbo ya zlatan.yeye...
1 Reactions
84 Replies
11K Views
Yes, kama heading inavyosomeka................ kwanza nianze kwa disclaimer, mi ni mshabiki mkubwa sana wa DIAMOND, SIMBA CHIBUDIII CHIBUDEEEE........... Pili, nimpe sifa zake Diamond platnumz...
13 Reactions
116 Replies
11K Views
Mke wa aliyekua meneja wa yamoto band,said fella anayejulikana kwa jina la sweet fella ametishia kuanika majina ya mastaa wanaotumia mkorogo wake sababu hawamtangazi kama wanavyowatangaza...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Mkubwa fella ambaye ni mmoja wa manager wa diamond ameulizwa swali wakati akifanyiwa mahojiano na bongo5 akaulizwa mkialikwa mfanye show ya fiesta mtaenda mkubwa fella akamjibu mwandishi " si...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefuatilia interview aliyofanya na Wasafi Media kupitia Kipindi cha Hivi ni kweli! Jamaa anajua Sana kujieleza kwenye Interviews https://youtu.be/5J0dNKYZ09s Nimekuwa nikifuatilia...
12 Reactions
76 Replies
9K Views
Katika wasanii wana skendo nyingi juu ya wizi nyimbo ni Diamond Platnumz, lakini sijawahi kusikia zimeondolewa YouTube. Hali ni tofauti kwa Harmonize, nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Patience Dabany akiwa stejini Tofauti na ma-First Lady wengine wanaostaafu na kuweka miguu juu na kuishi maisha kama ya ikulu nje ya ikulu, Patience yeye anaishi ndoto zake kama mwanamuziki...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Diamond ana sauti mbaya. Vocal bwana anazo King Kiba na ana kipaji zaidi cha kutengeneza muziki mzuri kuliko Diamond. Nyimbo za Diamond ni mbaya na hazipendezi masikioni. Baada ya yeye kutoa...
42 Reactions
68 Replies
14K Views
Leo msanii jux ameachia video yake aliyomshirikisha mondi a.k.a baba lao.Hii video unaweza kusema mambo manne creativity, passionity, proactivity and timing 👏👏 Yaani imewakutanisha wakali wa...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom