MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za...
Kwa wasiojua Diamond na Belle 9 wote walitoka kipindi kimoja kama sijakosea mwaka 2009 hivi. Wote hawa walikuwa maunderground. Belle 9 akitokea Morogoro mji kasoro bahari pale mtaa wa Mafiga...
Muimbaji maarufu wa kundi la Spirit of praise la nchini afrika ya kusini Neyi Zimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
Muimbaji huyo alikuwa akisumbuliwa na kansa ya ngozi. Bwana alitoa na bwana...
Kwenye Media Industry kuna vitu vingi vyakufanya, si lazima uwe mtangazaji, mhariri, mzalisha vipindi au vinginevyo, kuna kitu kinaitwa Voice over, uingizaji wa sauti kwenye matangazo hasa ya...
Jana tumesikia Mwakilishi wa Wasanii BASATA akibariki Kifungo cha Mwanamuzi mwenzake Rosa Ree kwa Miezi Sita cha kutofanya shughuli za Muziki.
Kwangu mimi naona haikuwa sawa kwani yeye kama...
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo...
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa Msofe leo ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi yake...
Wakuu,
Kama mlifuatilia hii thread - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/301102-papaa-musofe-mbaroni-kwa-mauaji.html basi hii leo jamaa anapandishwa kizimbani Kisutu...
Meneja wa WCB, Babu Tale amefunguka kuzungumzia ishu ya baadhi ya wasanii wa label hiyo nyota zao kushindwa kung’aa.
Lebo hiyo ina wasanii watano, ambao ni Diamond, Rayvanny, Mbosso, Lavalava...
Kwenye biashara kuna umafia ukiona uyu mwenzangu vipi basi umafia unabidi utumike akijulikana nani the master of the game uyo uyo wana deal naye
Tuliona kilichomkuta 2 PAC, na B.I. G
Kwaiyo WCB...
Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani.
Hawa ndio 5 bora kwangu
1: Trevor...
Kijana yupo kwenye level kubwa Sana tulizoea kuona mapokezi makubwa akiyapata hapa home lakini sasa anayapata hata nje ya nchi.Big up kwa hiyo step kubwa uliyopiga.
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa
siku akitangulia itakuwa ni yale ya Kanumba...
Kwa mujibu wa utafiti wa CNN, Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri
Wasanii wengine ni
1. Burna Boy: Nigeria
2. Angelique Kidjo: Benin
3. Diamond Platnumz: Tanzania
4...
Kwa RDJ'S (Radio DJS) wa vituo mbali mbali vya redio hapa nchini, tukiweka pembeni sijui redio inayosikilizwa sana, coverage, hakuna maDJ wa redio wanaotisha kwa sasa kama maDJ wanaotoka East...
Kwa sababu naona kaamua kuchukua hatua za AJABU kudeal na WAKUBWA serikalini, na hii inapelekea baadhi ya watu kujiuliza huyu mtu ni nani? na yuko pale Tanzania kwa faida ya nani? na je kisheria...
Zifuatazo ni takwimu za diamond platnumz katika mtandao wa instagram.
Takwimu zinaonesha tangu August 16 mpaka leo September 9 ,diamond platnums alijipatia idadi ya followers kama ifuatavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.