Kwakweli tangu ile ngoma yake inayozungumzia adui zake walivyo mchimbia shimo la kuzika mafanikio yake sikupata tena kupenda nyimbo zake zile zimekaa kama bolingo kama kitimutimu na nyinginezo...
Hey Guys...
I Hope mko poa wakubwa,,,Ryt,,??
Okay Fresh
Najua watu wengi nikiwemo Mimi wanajiuliza,Je Ngoma za Harmonize zitaanza kupigwa Clouds baada ya kujitoa kwenye lebo ya hasimu wao...
Msanii mkubwa wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz usiku wa Jana alifanikiwa kuchukua tuzo ya Philanthropic Endeavour community action kutokana na mchango mkubwa anatoa kwa jamii.Tuzo...
Duniani kote watu maarufu - wanasiasa, wanamichezo, wanamuziki, waigizaji na wengineo - wamekuwa wakitumia majina tofauti na majina yao halisi/kamili/waliyopewa wakati wa kuzaliwa. Kuna sababu...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa October 10 2019 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Naima Omary, Samatta alifunga ndoa jijini...
Innos’B ama Innocent Balume kwa jina kamili ndio Bwana mdogo anaebamba sana kwenye anga za Afro Beats (Afro Congo) kwa sasa.
Amevuma sana na kibao chake cha Po-Ye (uchek hapa link). ambacho...
Amani iwe nanyi nyote.
Nimeona clip ikimuonyesha muimbaji wa nyimbo za injili mchini, Goodluck Gozbert akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo Fiesta huko Mwanza. Nimeshangaa na kujiuliza maswali...
Kama huna taarifa za wasanii waliopanda mlima kilimanjaro kwa mbwembwe na wengine kuishia nusu njia kuelekea kituo cha Mandara kutoka lango la Marangu ni kwamba wenzao waliosonga mbele zaidi...
Habari mpya zinasema kuwa bado moyo wa Diamond Platnumz umemzimikia msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye figa matata Meninah licha ya wawili hao kukanusha mara kadhaa.
Inadaiwa kuwa Diamond...
Haya jamani habari zisizo kuwa na uhakika zinasema Diamond na Meninah kuoana soon na vikao vya harusi viko chini ya usimamizi wa mama Naseeb na Queen Darleen.
===============
Habari mpya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.
Inasemekana Menina aligoma...
Nakumbuka walisha wahi kuwekeana tarehe sawa za matamasha yao enzi beef lao likiwa kwenye peak. Nafurahi kuona wanazungumza hivi tena public. Hongera sana.
Nianze kwa Pongezi Kwa aliye Mteua Mkuu Wetu Wa Tabora(Toronto) , Mungu Ibariki Tanzania.
Aisee huyu jamaa amekuwa Maarufu sana Tanzania kutokana na hii fani yake ya uchekeshaji na sio Kipaji...
Here are five interesting things to know about the “INEOS 1:59 Challenge”
World marathon record holder Eliud Kipchoge will be attempting to break the two-hour marathon barrier during the “INEOS...
Here are five interesting things to know about the “INEOS 1:59 Challenge”
World marathon record holder Eliud Kipchoge will be attempting to break the two-hour marathon barrier during the “INEOS...
Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa...
Leo September 13 ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyewahi kuwa mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Marekani, Tupac Amaru Shakur ‘2 Pac’ ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na watu...
Huwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha.
Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh...