Mwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out.
Hii inafanya msanii wa...
Uyo jamaa simwelewagi apa jukwaani kama ni kijana au mzee make kila jukwaa yupo mambo ya kitoto utamkuta uchumi siasa mpaka kwa akina harmonize tofauti na watu wengine
Namkubali sana huyu mwamba,Ahmed Abdallah...daah Azam tv ligi kuu bara mbona itakua doro sana,patrick Nyembela anakazi ya ziada sana kuziba pengo la.mwana
Sijajua zaidi ni yapi yaliyomsibu Kizzy Daniel kuachana na management yake aliyokuwa nayo ila naona ni kama visa vinafanana na cha Harmonize.
Sitaki kujaribu kusema Harmonize atashuka ila...
#HATIMAE Mama mwenye Radio yake Elizabeth Michael aka Lulu ndo amekua mtangazaji rasmi E FM, amechukuwa nafasi ya Maulid wa Kitenge aliyetimkia Wasafi FM.
SI mbaya tukashauriana KABLA ya matokeeo
Nimebahatika kumwona msanii MMOJA maarufu HAPA nchini amepanga TANKIBOVU UPANDE WA chadema
NDUGU MPENDWA NAJUA n mgeni nashauri kabinti ulicho nacho...
24hrs sasa utata wa alipo mbeya wa social media haonekani na hizi taarifa ni rasmi sasa kutoka ndani ya familia ya mwanadada huyu maarufu mitandaoni especially wa Instagam kuwa hajaonekana tangu...
Unawakumbuka vijana wa Tupac, Outlawz? Yay yay! Bila shaka pia utakuwa unamjua au ushamsikia mmoja wao kwa jina Mutah a.k.a. Napoleon.
Huyu jamaa wazazi wake waliuwawa mbele ya macho yake yeye...
Habari wakuu
Kama heading yangu inavosomeka hapo juu huyu kijana kutoka marvins ya mkongwe don jazzy amekua akijitahidi kutoa nyimbo kali kama dumebi, why, iron man, corny kwa wafuatiliaji wa...
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media
Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya...
Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki...
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi...
Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima
Turejeeni katika mada hivi karibuni...
1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao.
Baada ya Salam SK, kuongea, asilimia kubwa imeshaamini kua Harmo anaondoka WCB kwa jeuri. Kiburi, kujisikia na amekosa fadhila...
Baada ya vita kali ya kumkataa mnafiki namba moja ambae kimsingi sio msanii wala hana kipaji chochote ila ni mtoto wa mjini anaejua kucheza na nyakati huku hapepesi macho bwana Steve Nyerere...
Msako wa video za @Menina ulikuwa ni mkubwa,
Mwijaku kawataja wadaku wote nchini alioshirikiana nao na waliohusika kuzisambaza
DJ Carry a.k.a @Carrycarry12 ni mmoja ya waliokamatwa, kwa siku...
Msanii dudu baya aka konki konki konki master amefunguka kuhusu issue ya Menina na Mwijaku uliyotoa baada video chafu ya wasanii hao kuvuja hivi karibu amesema Kama ifuatavyo " hivi vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.