Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana...
Baada ya kuwa na kitendawili alichokuwa anakiweka Irene Uwoya kupitia mtandao wa Instagram inayosema kuhusu tarehe 26 Oktoba, sasa imejulikana kuwa ni ndoa kutokana na tetesi zinazoendelea katika...
Huyu ni mla bata wa kishua ambaye anatembea nchi nyingi sana, hana stress na maisha, yeye ni bata za kishua siyo vumbivumbi na ni mtu wa ku-cruise kwenye yatch na hoteli kubwa. She's a...
Mziki maalumu kwake by mashujaa muzika
Huyu kijana Steven kanumba apumzike mahala pema peponi amina,
Tunatambua jitihada zake katika kukuza tasnia ya filamu Tanzania,
Nyota wa muziki nchini marekani De andre way AKA soulja boy hatimaye aamua kumchukua evender hollfield kuelekea mpambano wake na mwanamuziki ambaye pia aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada mwenye...
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Kweli majizo ni hatari baada ya kuzaa na mobeto sasa ameenda kuzaa na salma msangi.
Na juzi kwenye 40 ya mtoto mzee mzima alitimba
Ndio maana lulu ameamua kuwa mlevi tuu
Hii ndo top five ya wasanii wakali wa hip hop na sehemu wanazotoka
1. Fid q from Mwanza
2. Mwana fa from Tanga
3. Pro j from Songea
4. Darasa from Mwanza
5. Young killer from Mwanza
Hii imayofuta...
Na Moshy Kiyungi
Bendi ya Tabora Jazz ilikuwa na makazi yake mjini Tabora ikipiga muziki wake katika ukumbi wa nyumbani wa Lumumba. Ilikuwa na sifa ya kutoka na nyimbo mpya kila baada ya kipindi...
Shilole aangua kilio baada ya mahakama kutoa hukumu kumtaka alipe million 14 za kitanzania kwa Mary Musa.
Mwaka 2017 katika mkesha wa Pasaka Shilole alilipwa mil.3 akatumbuize huko Mbagala lakini...
Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo...
Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time.
Angalia sasa wamekalishwa benchi muda...
Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best...
Wana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli...
Jamani kijana anaonekana nyuma yake kuna mijitu yenye mipango mizito siyo mchezo wanaodhania ataanguka kizembe kama rich mavoko wanakosea aisey maana dogo ananunua dira tv ya msama muda si mrefu...
Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.