Nimekuwa ni kifuatilia hili sanga liliotokea kwa wasanii mwijaku na menina nimeona asilimia kubwa wakimtetea menina na kumponda na kumwandama mwijaku ingawa wote wanamakosa.kwanini menina akubali...
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo...
Mondi alikimbia sana badae kugeuka nyuma anakuta haoni mwanariadha mwenzie kukawa hamna namna bali kumuua Alikiba kwa kumtengeneza adui wa kuzuga Harmoniser lakini mwisho wa siku nia ni kuteka...
"Napenda umaarufu, nachukia mbwembwe zake" - Fid Q
Habari za wakati huu? Najua ni usiku sana na pengine unatamani kulala kutokana na uchovu wa pirika pirika lakini kabla ya kutekeleza shauri lako...
Aslaam Aleikyum wadau wa jukwaa hili..I hope mko poa, Leo nataka nimzungumzie Toto tundu Mpemba mmoja hivi toka Zanzibar ambae ni Mtangazaji wa kipindi cha Amprifaya Clouds FM kila siku Jumatatu...
NDEGE TATU ZANUNULIWA KWA FAIDA ILIYOTOKANA NA NDEGE NANE ZILIZOPO.
Leo 13:15pm,16/10/2019.
Atcl sasa itamiliki ndege kumi na moja baada ya kununuliwa kwa ndege nyingine tatu kutokana na faida...
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana...
...hii kitu ya picha/video za ngono inalipa Sana kisanii. Ndani ya wiki 1 tu, unaongeza fan base kubwa, unatambulika Sana ktk jamii na kazi zako zinafuatiliwa Sana!
Binafsi sikuwa namfahamu...
Huyu dogo amekwenda,
Ni kweli historia yake ya matukio huko nyuma, mfano tukio la wizi, lililoandikwa hapo nyuma, na visa kadhaa kama hizo watu wanasema za skendo za kusepa na wake za watu...
Hatari sana. Unajua mambo mengine usijaribu kabisa ukadhani eti yanaweza kukusaidia. Mimi nina miaka 40 ukinicheck sababu nakula vizuri, mazoezi kiasi flani na pia sina mawazo. Unaweza dhani nipo...
Habari zenu wakubwa..I hope mko poa. Ally Masoud aka Kipanya'KP'Mchora katuni maarufu bongo katika gazeti la Mwananchi ambae pia ni Brand Manager na Mtangazaji wa Kipindi cha Power Breakfast pale...
He Pals,,,,
I hope mko gud Ryt,,,,
okay, Freshhhh
Moja ya mijadala mingi iliyoko mitandaoni ni kuhusu Harmonize kujiondoa Kwenye lebo yake ya WCB,Ukifuatilia comment za mijadala hiyo wengi...
Ndugu wadau,naomba kujua full squad,jina na mahali walipo wasanii walioimba wimbo wa alale pema kamanda.ule wimbo una elezea kwa ufasaha kifo na huzuni kubwa.nawasilisha
Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na...
Nimepatwa na furaha sana baada ya kuona taarifa kwenye ukurasa wako wa mtandao wa Instagram ukiufahamisha umma/mashabiki kuwa kwa sasa umerejea CMG, Clouds Media Group, imekuwa furaha kwa wengi...
Salute..
Kwa wale wapenzi Wa muvi za mkongoto na ubabe basi jina LA Iko Uwais so ngeni sana kwenu.
Jamaa in mwigizaji kutoka Indonesia, anapiga karate hatare, mapigo Yale ya kuvunja vunja mifupa...
Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’ na ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick, amefunga ndoa kwa mara ya pili.
Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.