Yule kijana anaejiita rais Magufuli kwa kwa kuigiza sauti ya Rais JPJM anaboa pale anapomaliza kuhutubia na kuanza kuchomoa hela hela watu kitu ambacho Rais Magufuli hafanyi hivyo kabisa.
Nadhani...
Huyu mama ntilie Shilole ni mnafiki sana na kwa mwendo huu atazidi kuumbuka tu hapa mjini na ma project yake yasioeleweka mbele wala nyuma.
Tangu harmonize ajitoe WCB ,Shilole hakauki kwenye...
Rumor has it kuwa jacky ndiye aliyesababisha Madam ritha kuwa banned ITV na bongo star search , hiyo yote ni kwa ajili ya kumkomoa Madam ritha who also rumored to be friends with Jacky before and...
168 likes
diamondplatnumz
CAMEROON!!! CAMEROON!!! See you Nov 22nd & Nov 23rd for my Double V.I P Shows 🛸🌍🛸
MY CURRENT TOUR SCHEDULE:- Canada Toronto 11th October
Canada Vancouver 12th October...
Mbaraka Mwinshehe Mwaruka (27 Juni 1944 - 12 Januari 1979) alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjini Morogoro akiwa mtoto wa...
Kituo kikubwa Cha entertainment Cha MTVBASEeast kimetumia saa 1 kupiga ngoma za diamond pekee Kama sehemu ya kumwish happy birthday msanii wa kimataifa Diamond Platnumz kutoka Tanzania ambaye...
Pamoja na majigambo aliyoyafanya ya namna atakavyoupanda Mlima Kilimanjaro, msanii wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amekuwa miongoni mwa wasanii watatu walioshindwa kutimiza ndoto hiyo...
Kesi ya Mwanamuziki wa miondoko ya R&B, Robert Sylvester Kelly(52) maarufu R.Kelly imechukua sura mpya baada ya kushtakiwa kwa makosa mapya
Mwanamuziki huyo amekuwa akituhumiwa kwa makosa ya...
​These rap cats softer than a new born baby bottom... Eti big fish in this ocean... My pussy cat eats that shit.. Ni maneno yanayosemeka katika ukuta (wall) wa Harry Kaale maarufu kwa jina...
Cuban Marimba Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Morogoro, Tanzania. Bendi ilianzishwa na Salum Abdallah Yazidu (SAY) mnamo 1948 ikiwa na jina la Kihispania maarufu kama La...
Msanii na CEO wa KONDE GANG Harmonize, ametuletea idea yake ya kugawa chakula Cha bure mitaani.
Amethibitisha hilo kwenye post zake za Instagram alizo ziweke Hivi karibuni
Picha.
Taarifa kutoka hospitali ya Bugando zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa...
Hakika huku ni kukosa fadhila.
Hivi Harmonize hakumbuki Diamond Platnumz amemtoa wapi mpaka hapo alipofikia,yani neno dogo tu la kumpa hongera na kumtakia mafanikio mema bosi weka linamshinda...
Harmonize amekuwa msanii pekee mwaka huu kutokana East Africa kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA katika kipengele Cha Best African Act akichuna na wakali Kama Barnaboy na Nasty C
Unaweza kumpigia...