Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wadau wajukwaa hili, Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa. Hebu tuseme ukweli bila Chuki... Diamond Platinum na Chris...
1 Reactions
168 Replies
24K Views
Hey Mapeople,,, Nimekuwa nikimfuatilia Roma na Stamina jinsi wanavyo Fanya mziki wao ni wazi kuwa wanafanya mziki kwa ajili ya Tigo fiesta na hawana malengo yoyote juu ya mziki wao. Kama ni...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Diamond amepata tena dili la kusaini miaka miwili na nusu na kampuni ya kuuza sabuni ya niceone baada ya kupita wiki kama mbili toka asaini dili la kampuni kubwa ya kubeti na Hadi sasa hivi...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Unajua inasikitisha mtu kuwa hujui na kujifanya kuwa ndio wewe unajua sana, hapa namzungumzia kile kinachoendelea kwa Harmonize na Diamomd hawa jamaa wameonekana na walinzi wengi na baadhi ya...
17 Reactions
49 Replies
7K Views
Tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wakiwa wameogopeshwa , wametishwa hawana raha. Binafsi nimeshuhudia viongozi wa kuteuliwa na Mh Raisi hasa Ma DC wakiwa wanawatisha...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Huenda dunia ya muziki ikampoteza kabisa rapper 6ix9ine, Imeripotiwa kuwa baada ya kutoa ushahidi Mahakamani dhidi ya kundi lake la "Nine Trey Gang" ataingia kwenye utaratibu maalumu wa kulindwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa kila episode moja unayomuona The Rock, katika series ya "Ballers", anapokea malipo si chini ya Bilioni 1.6 Tsh. Na kwa mwaka huu pekee hadi sasa anashikilia namba moja kwa waigizaji...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Bado sijaithubitisha rasmi ila nimepata Kudokezwa na Mtu aliyeko Jikoni na pia karibu na Mmoja wao hapo kuwa huu Uhusiano umeshavunjika rasmi japo taratibu zote za Harusi ambayo ilipangwa kuwa ya...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Siku chache baada ya Wolper kutamka kuwa Sara demu mzungu wa Konde boy ni mlezi wa wana,hii imekuna kufuatia uwepo wa tetesi za mzungu huyo kushare maumbile na Baunsa Mwarabu fighter, Hatimaye...
5 Reactions
183 Replies
26K Views
Huyu kaka inaonekana Flola alikuwa akimcontrol pakubwa sana, kipindi yupo na flora alikuwa anavutia sana kitabia lakini sasa kaka anatukana hadharani na kutoa mada za ajabu ajabu mitandaoni
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Mwimbaji wa miziki ya miondoko ya Hip Hop, Nick Minaj amewashangaza mashabiki wake hapo jana baada ya kutangaza kuwa anastaafu biashara ya Muziki ili aweze kuanzisha familia Minaj (36) ametoa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
8 Reactions
99 Replies
14K Views
America's BET Hip Hop Awards pays tribute to Tanzanian hip hop as rapper Gsan of the group X Plastaz from Arusha, Tanzania participates in this year's BET cypher among legends such as KRS One...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele...
6 Reactions
195 Replies
43K Views
1.Samweli Sita 2.Kingunge 3.Ndesamburo 3.King Majuto 4.Masaburi 5.Masogange 6.Sam wa Ukweli 8.Maji Marefu 9..... Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia...
9 Reactions
50 Replies
8K Views
Huyu kijana mzee sijamsikia kitambo Sana, ni moja ya magentleman wa mjini wenye hela bila kelele toka enzi hizo. Kabla hata Freeman hajaingia kwenye siasa huyu ni mshkaji wamedance wote...
5 Reactions
25 Replies
6K Views
Huwenda asijulikane kwa wengi kutokana na muziki anaofanya kupendwa na idadi ndogo ya watu ila kipaji halisi cha muziki kiko ndani yake. Yamodo ni mwanamuziki wa dansi, kwangu mimi nilianza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Yani inafika siku kama ijumaa ma jumamosi usiku namna cha msanii yeyote aliekuja kupiga show unaishia kuwaona tu YouTube na instagram ukiwa mkazo wa hili jiji, sio hivyo tu hata clubs za kwenda...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
I Hope Mu wazima ndugu wadau, Nilikuwa Sijasikiliza redio hasa kipindi cha Xxl ya Cloud's fm,kwa muda mrefu sana, Basi leo nikiwa nawasikiliza nimesikia wakiwahimiza mashabiki wa muziki wa huko...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom