basi ndo hivyo bana ALi kiba ndoa chali na Roma pia,haijajulikana mara moja sababu ya issue ya Roma ila kwa ali kiba ni kwamba mwana dada alichoka madharau ya king kiba kalalamika sana kwao...
Ki ukweli kama hujawahi muona huyu mtu akifanya mabalaaa basi siku 1 ukiona mabalaa ya huyu jamaa utajua naongelea nini,Zamani eti niliskiaga ukiwa komando unapewa kisu na njiti 1 tu ya kiberiti...
Binti ambaye ni mhasibu amefariki dunia papo hapo kwa kupigwa shoti ya umeme baada ya simu yake iliyokuwa akiichaji kuanguka ndani ya maji.
Evgenia Shulyatyeva (26), ambaye ni mpenda ‘selfie’...
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amesema hajaachana na mkewe bali amemruhusu arejee kwao Kenya kufanya kazi kama alivyomuomba.
Amesema licha ya uamuzi wake huo, siku za hivi...
Kwa wale wanaomfahu David Nkuba amefariki leo kwa ajali ya gari ndogo maeneo ya Shinyanga.
David alisoma Azania Secondary, Usagara High School, alipita pia UDSM kidogo na baadae akamalizia...
DAR ES SALAAM,TANZANIA.
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amesema hajaachana na mkewe bali amemruhusu arejee kwao Kenya kufanya kazi kama alivyomuomba.
Amesema licha ya uamuzi wake huo, siku za...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amemuomba msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kubadilisha ratiba ya Wasafi Festival mkoani Iringa ili ahudhurie...
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu...
Ningependa kumfahamu huyu binti anaitwa Reginal Mengi mtoto wa mwenyekiti wa IPP
Lengo la picha ni kumfahamu tu
sio kwa sifa hizi anazomwagiwa eti ni mzuri kuliko mama ake mdogo Jack Mengi...
Wakuu ningepata uelewa wa haya mambo kuhusu hii teknolojia ya kupasha habari kwa kutumia hizi online TV,pamoja na hayo pia nahitaji kujua faida inayopatikana kutokana na huduma hizi pia faida...
Wanaukumbi kwema,
Leo naombeni mnijuze nini kimemkuta mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye kuna kipindi tuliaminishwa kuwa atakuja kumzidi kama sio kumfunika na kumpoteza...
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto...
Kwa sie wapenzi wa Ndomo,yawezekana itachukua muda mrefu sana kulisahau hili tamasha la fiesta 2014 maana limekuwa kama mkuki kuchoma kwenye kidonda,wakati mashabiki wake tukijua na kuamini...
Role Models ni moja kati ya vitu
muhumi sana katika kuelekea
kwenye Kutimiza ndoto au malengo
Uliyojiwekea.
Role Model ni Mtu ambae anaku'inspire na unamwangalia kama mfano kutokana na kile kitu...
Wakuu tuongee kidogo tunajua fika dili za matangazo zina vigezo vingi mpaka kuzipata. Kigezo kimojawapo ni kuhusianisha product na balozi wa product.
Mfano tunategemea dili ya mapishi au chakula...
Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.
Ndoa ya King Kiba...
Ngoma yako ya Taa Kali Sana braza, hongera kwa kurudi kivingine. Sometimes ngoma za mapenzi zinatuchosha Sana sisi mashabiki. Nyimbo Kama hii ya Taa inatupa nafasi nyingine ya kujinyenyekeza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.