Wanajamvi naamini mko salama,
Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM.
Aisee kila inapofika saa Mbili...
Muziki wa vijana Bongo Fleva umetoka mbali lazima tuwatambue ambao kupitia kazi zao wamefanya mziki uwe Hapa,hawa ni baadhi yao unaweza kuongezea,wameleta fulsa kwa vijana wa sasa hatakama wao...
Aisee huyu Kijana ameupeleka mziki wa Bongo kimataifa, kama Mtu unamchukia Kijana huyu wa Tandale aisee Utapata Tabu mnooo... Yani Diamond ni Jeshi la mtu mmoja anabadilisha ladha za muziki kila...
Wakuu Habari!!
Habari inayotrend katika intertainment industry ni Diamond platinumz kusaini deal Kama ambassador wa PariMatch.
Sisi Kama vijana Inabidi tuache majungu na tuige kwa watu...
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo...
Akihojiwa katika kipindi cha kikaangoni cha EATV msanii nyota Amberlulu amedai ktk mtihani wa kidato cha nne alipata division two ya 34!
Hiki ndo kizazi cha TZ ya viwanda!! Kinyaa!!
Ni msanii aliyewapa wengi matumaini kwamba akiwa mkubwa atakua kakomaa sana kisanaa,
kaanza mziki tangu mtoto mdogo kabisa, ndhani wengi tunaijua ile single yake ya bow wowo wow yippie yo yippe...
Mzee Benson Wanjau, maarufu kama Mzee OJWANG HATARI, mume wa Mama Kayaii, amefariki usiku huu majira ya Saa 2 katika hospitali ya taifa Kenyatta alipikuwa akipata matibabu ya maradhi...
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.
Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo...
Nasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo...
Habari za asubuhi wana JF?
Baada ya salamu nijikite kwenye mada husika.
Naombeni kuuliza pia kama wahusika wapo humu wanisaidie.
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa ndugu zangu na si kwa...
Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe...
Maelfu ya watu nchini Ivory Coast walikusanyika katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny huko Abidjan kushiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Ange Didier Houon maarufu kama Dj Arafat.
Dj...
Socialite maarufu kutoka nchini Kenya [emoji1139], Huddah Monroe amewashauri wanaigeria wote waishio nchini South Africa kurudi majumbani kwao wakajitafutie huko kuliko kuwa watumwa katika nchi...
Kutoka fethibuku:
Sote tunajua diamond ni mwenyekiti wa Wcb na pia ni msanii.
Hivi vitu ni kitu kibaya endapo msanii mwenye hivi vyeo ana kundi / label yenye wasanii wazuri.
Binadamu tuna wivu...
Kiukweli harmonize hatofanikiwa kimuziki kamwe hata amalize waganga na waganguzi huko chitoholi ila suala la kupiga hatua ya kimuziki halitawezekana asilani abadani.
Jamaa hana ubunifu kabisa...
Dah kuna ndugu yetu mmoja ametoa ngoma na Nora Fatehi dah mpaka mda huu sijapata picha kabisa toto kama lile sijui kalibumia mazingira gani.
Tayari ngoma ishavunja rekodi ya fastest million views...
1.Amesharap........... ...Fresh Rmx
2. Ameimba taarab........ Nasema na wewe
3. Ameimba zouk.......... Ntampata wapi na nyingine nyingi
4. Ameimba RNB.......... Nenda kamwambie na nyingine nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.