Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4...
Tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wakiwa wameogopeshwa , wametishwa hawana raha.
Binafsi nimeshuhudia viongozi wa kuteuliwa na Mh Raisi hasa Ma DC wakiwa wanawatisha...
Kwa nini hawa wanao itwa " celebrities " wa kibongo wanapenda kupunguza miaka yao?. Kisa nini? au ndio waonekane ni watoto wa dogo ambao wanafanya mambo makubwa?. Leo...
Ukija upande wa pili wa kutengeneza jingles za company's mbalimbali afanyi makosa kabisa kijana wetu diamond na jingle zake zimekuwa Zina influence mauzo kuongea za bidhaa hizo kutokana na wateja...
Jamaa kwanza kwenye uvaaji tu bado sana. Na tena afadhali ameacha kuvaa kofia za baridi wakati yuko Madale anatandikwa na jua kali, ilikuwa ni aibu.
Tuje kwenye uimbaji. Kila siku habari za...
Again kijana wetu anazidi kutuwakilisha vyema kimataifa sas yuko nominated kwenye TUZO KUBWA ZITAKAZOFANYIKA MAREKANI November mwaka huu..
Mpigie kura diamond katika kipengele alichowekwa kama...
Msanii anayetoka katika lebo ya Wasafi ,Rayvanny amachaguliwa katika tuzo za STARQT AWARDS 2019 za south africa,katika kipengele cha BEST MALE ARTIST.
Na ni msanii pekee yake kutoka Tanzania...
Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba
Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground
Bora tu hata angesimama mayunga au...
Ndugu Moderator, Invisible naomba kubadili ID yangu. Kuna mjinga mmoja na anafuatulia kila ninachopost ananitumia screenshots. Sipo comfortable na hili.
Natanguliza shukrani
Wako Mla vitumbua
Mchekeshaji Kevin Hart na wenzake wawili wamepata ajali ya gari mapema Jumapili Septemba 01, huko Calabasas, California baada ya dereva kukosa udhibiti wa gari hilo
Hart na dereva Jared Black...
Wakuu natumaini mu wazima kabisa nimeisogeza kwenu kwa kifupi historia ya mwanamziki Celine Dion.
Celine Marie Claudette Dion alizaliwa March 30 1968 huko Quebec Canada alianza kupata umaarufu...
Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake
Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi...
Wasalamu [emoji1538].
Sina maongezi mengi sana juu ya hili kwa sababu maongezi yangu kwa upana wake yataitaji ufafanuzi mrefu ambao sipo tayari kuuweka kama sehemu ua uzi huu labda kama 'comment'...
"Mafanikio huja kwa kufanya unachokipenda", hii ni kwa mujibu wa Fid Q na wanafalsafa wengine wengi ambao wamepata kiutokea katika uso wa dunia. Tasnia ya habari (hasa habari za burudani) kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.