UKWELI uliowazi huthibitishwa na mpenyo wa uongo kwenye ngoma za masiko ya binadamu aliyehai na utimamu wa fikra zenye utambuzi wa weledi katika jambo husika.
Kuna mambo katika nyakati huleta...
Wimbo mpya wa JAMAFEST2019 ulioimbwa na Msanii Peter Msechu, umeteuliwa kuwa wimbo maalum katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki linalotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Septemba 21-28...
Burna Boy, AKA, YCee & More Get In a Heated Exchange Surrounding Xenophobic Attacks in South Africa
As we've been reporting, South Africa is currently embroiled in violent xenophobic attacks...
Wadau wa hiphop, Nani ni noma kati ya hivi vichwa viwili chidi au fidi enzi wapo fire.....
Bila kujali matatizo yaliyowapata yaliyowaathiri kwenye game, JE NANI NI MKALI???
Miongoni mwa mastaa wa kike ambao wasipojiangalia watakuwa na mwisho mbaya basi huyu mwanadada Wema Isaac Sepetu anaongoza.
Kiukweli Wema inabidi afanye juu chini atafute wataalamu wa jadi...
Dar es Salaam. Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii hasa Instagram habari iliyoshika kasi huko ni madai ya uhusiano kati ya mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mwanamuziki Rayvanny...
Msanii Harmonize aka Konde Boy ametoa ngoma mpya akiwa na Eddy Kenzo kutoka Uganda inayoitwa 'Inabana'. Ikumbukwe hii ngoma yake ya kwanza tokea akiwa msanii Solo, hivyo kionjo cha Wasafi kama...
Msanii wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Ringtone Apoko ambaye kipindi cha nyuma alitangaza ni yake ya kumuoa Zari The Boss Lady, ameamua kumnunulia ndinga kali mama huyo wa watoto watano ikiwa...
Kajala Masanja ungekua bado hujaolewa.....,basi tu.Huyu dada ni mrembo sana hasa akiwa natural bila yale marangi rangi yao.Pembeni ni beautiful onyinye Jack Wolper.
Habarini....
Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika
Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient...
Harmonize baada ya kuondoka Wcb Kwa muda mfupi tu matokeo yake yameeanza kuonekana zile One Million Viewers Kwa siku Hazipo tena Nachojiuliza pale WCB kuna mdudu gani Mbona Wakiondoka wanapotea...
Habari wadau,nimekua mtazamaji mzuri wa BBC Swahili kuna watangazaji wamenivutia kwa umahiri wa lugha ya kiswahili japo wako uingeleza,baadhi ya watangazaji nchini hebu waigeni hao ni mfano mzuri.
STAA aliyeitendea haki Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford na mwigizaji Wellu Sengo, wameingia kwenye bifu zito ambalo halijulikani chanzo chake.
Chanzo kimenyetisha habari kuwa, licha ya wawili hao...
Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo, kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia...
Jana katika pita zangu nikakutana na Kipande cha Gazeti katika nyumba ya babu yake na rafiki yangu, kikiwa kimebandikwa ukutani kikiwa na majina ya wachezaji wazamani....
Nikataman kujua wako...
Wasalaam wana jamvi.
Muziki wetu umukuwa sana kwa sasa tunaweza sema ni ukweli uliowazi kuwa biashara ya sanaa na muziki ni moja ya biashara kubwa kabisa kwa sasa nchini kwa sababu kuna watu wana...
DAR ES SALAAM: UNA kifua nikupe ubuyu? Staa mwenye kiwango cha juu ndani ya Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ anayepiga mzigo na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), muda wowote anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.