Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu sio WASSAPE..Ila huyu atasubili sana kwa King WASSAPE,Huyu ni msela wake wa karibu sana na WASSAPE. alimuandikia ile ngoma yake ya 'Hey Lover' @NgarenaroBoy.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wabongo nuksi sana Wamevamia page ya jada na mibendera yao hahahahaj Mwingine kampa Jada ubuyu eti amchunge dhidi ya wadangaji hahahah!!!
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Ukiangalia Mara nyingi interview anazofanya diamond especially anapotaja wasanii wake wa WCB Mara nyingi jina la dada yake queen darling alitajigi lakini pia hata tu kupost kazi za dada yake queen...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mwanamuziki bora wa muda Wote Juma Kakere ambaye mpaka leo Anatamba na kufanya vizuri na nyimbo zake Betty iliyotoka 2001,Pole kwa Safari iliyotoka 2004 na Mama Monica bado anafanya vizuri na Ujio...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Katika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja. Jamaa ni mnafiki sana yani anajaribu kutafuta huruma ya wananchi kujifanya yeye ni mwema na kutengeneza picha...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Yaani ukisikiliza nyimbo zao, utasikia maneno kama; Unenge Swagire Umekaa kile Kiralu ralu(?) Maole - Yaani rejesta siyo rejesta, misimu siyo misimu na misemo siyo misemo. Siyo Kiingereza...
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Huyu jamaa anajua kuimba ila nahisi anajirahisi sana, sijui nani anayemshauri kufanya collabo kilasiku, nahisi hata siku akikutana na mimi atanikubalia kolabo ya kinyimbo changu cha...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Nimezisikiliza Tetema zote tatu. Ukiachana na original waloimba Vanny boy na Mond, hii na kina Patoranking na Zlatan ni better than ile na kina Pitbull. Unyama aloufanya Patoranking kwenye verse...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kusema sikuwa najiona kama nitaweza kuandika hii makala kwa mfumo wa Uzi huku jf. Ila kwa kuwa mimi, binafsi, ni shabiki wa sanaa haswa muziki na tukio hili linahusisha...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Msanii wa filamu Ahmed Salim maarufu kama Gabo Dar es Salaam: Msanii wa filamu nchini Tanzania, Ahmed Salim maarufu Gabo amesema wasanii na wadau wa sanaa wanatakiwa kupendana wakiwa hai...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hv karbuni Konki master Dudu baya, ameokoka kwenye kanisa la Mwamposa (bulldozer), akihojiwa na mwandishi wa Temu online TV, Dudu baya ameongea mengi, amezungumzia uadui mkubwa uliopo kwenye...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati...
2 Reactions
81 Replies
14K Views
Yusuph Mlela Dar es Salaam. Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Yusuph Mlela amesema anapenda maisha ya kiki, kwamba kila analolifanya katika jamii ni kwa ajili ya kiki. Ametoa kauli hiyo leo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Senga na Pembe wanafahamika miaka mingi kwa umahiri wao wa vichekesho. Kwa miaka mingi ni kama walipotea na kuibuka kizazi kipya kilichofanya wengi kuwasahau. Wakongwe hawa wameingia...
12 Reactions
34 Replies
7K Views
Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea... 1.miriam massage masaki 2.signature massage makumbusho 3...
2 Reactions
59 Replies
28K Views
Habari zenu wakuu,Natumai mko salama...Direct to e' Point,Yule Mjasiriamali msomi wa mambo ya TV Productions na Mrembo ambae pia ni Boss/CEO wa Redio Lake FM 102.5 Iliyopo Mwanza Tanzania...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Naam Wanajamvi Series yetu inaendelea..WASSAPE akiwa kwenye kazi yupo serious..hatakagi kutekwa na starehe ya aina yoyote......#Inaendelea.....Usikose... To be Continued. @NgarenaroBoy.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo flava na wanaofatilia kwa ukaribu watakubaliana namimi makeke ya huyu kijana wa Kimakonde kutokea WCB Label. Kwa kipindi cha Mwaka 2018 hadi sasa amefanya kazi...
7 Reactions
72 Replies
11K Views
Naangalia sana kipindi chako kila nikipata nafasi hebu tupe sifa zetu wanawake,tunafanya mengi mazuri tu we kila siku mabaya tu kutunanga tu,dyadyaa tafadhali hebu siku moja moja ongelea mazuri...
13 Reactions
34 Replies
4K Views
Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya. Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Back
Top Bottom