Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naandika uzi huu baada ya kuona nyuzi nyingi huku zikizungumzia masuala ya label kama msaada wakati ni biashara. Hebu fikiria, umekutana na msanii huko mtaani amejaliwa kipaji unaamua kuwekeza...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hey Guys,,, I hope mko poa Nimeziangalia Tuzo za Afrimma na category zake zimenishangaza sana, Kitu kilicho nishangaza ni kuona Omary Nyembo akiingia kwenye category tatu huku Harmonize na...
6 Reactions
151 Replies
14K Views
'I'll never stop missing you': George Michael's lover is pictured visiting the singer on Christmas Eve – just hours before he found the Wham! star's lifeless body at his £4m Oxfordshire home...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu nayasema haya si kwa chuki au unafki , ila wakati mwingine inabidi tuseme kama funzo kwa jamii yetu inayotuzunguka. Na si vyema kujadili maisha ya mtu lakini huyu ninayemjadili ni...
26 Reactions
162 Replies
25K Views
Habar waku, Kwa wenye mawazo ya haraka kama mm hamornize kazinguaa kinomaaa Kosa1! Kuchanganya siasa kwenye kuimbaa Hili limewakinaishaa wengi sanaa Kosa2: Hili la kutoka wcb sio kosa ...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bado sijaamini masikio yangu..hivi in kweli huyu jamaa kaamua kuokoka kweli au ndio maigizo ya kutafutiana kiki...kasema amezaliwa na kuwa kiumbe kipya
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Swedish YouTuber, self-proclaimed comedian, game streamer, and controversy magnet Felix Arvid Ulf Kjellberg – better known by his online persona PewDiePie – has hit the 100 million subscribers...
0 Reactions
3 Replies
856 Views
Wapenzi wa WCB wote tukutane hapa tutete mawili matatu kuhusu huyu bwana mdogo Rajabu (Harmonize). Binafsi nimesikishwa sana jinsi alivyobadilika, amejaa kiburi ,majivuni na kujiona yeye ndio...
3 Reactions
70 Replies
9K Views
nauona mpambano mkali sana huku WCB kule Konde Gang hapa Kings Music aisee Bongo Flava itakua mbali saaaaaaana! ni mwendo wa hits tu jamani. Ngoja tuone
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Its been 19 years since you gone , as a number one fan , i would love to say that we miss you Tupac Amaru Shakur .... Music aint the same without Pac . Lets all join to celebrate his hip hop and...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
habarini zenu wajameni kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo fleva, na wa afrika mashariki kwa ujumla matumaini yangu ni kwamba mnamjua mtayarishaji wa beats maarufu kwa jina p-majani kinywele...
14 Reactions
128 Replies
32K Views
Hii ndio maana halisi ya kuwa msanii wa Kimataifa,full booked!!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Sikiliza Wimbo Mpya wa Rosa Ree Unaitwa What You Know...Huu ni wimbo uliokatika mahadhi ya Raggae umerekodiwa South Afrika na Producer Anayeitwa Sakhile Bonyeza Play Kusikiliza:
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Nimebahatika kuona video fupi ya msanii tumain ngerela AKA DUDUBAYA akiomba msamaha. Anaonekana kabisa kalazimishwa na watu fulan afanye hivyo, ukisikiliza vizur anaomba...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna jamaa watatu nimewakuta wamechill somewhere, Kwa maongezi yao wanaonekana kuwa ni wadau wazuri sana wa tasnia ya burudani hapa mjini na ni watu wenye taarifa kuntu sana juu ya tasnia hii...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi naanza ni jiji nzuri kama una pesa Wewe vp
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Miongoni mwa upcoming starz wanaofanya poa kwenye gemu la mziki wa bongofleva in msanii 'Hanstone'. Kijana anafanya poa sana kama walivyo kina Marioo, Mbosso Khan, Whozu na wengine kama buku ila...
5 Reactions
50 Replies
13K Views
Wakuu sipo hapa kupigia debe hawa wasanii, ila kifupi ni kwamba wanajua sana... Ladha halisi ya muziki ipo THT, hawa inaonekana wanafunzwa hasa na wanaelewa wanachofanya. Kwa kifupi nimewasikiliza...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamaa ni mkongo mwenye hela zake ndo maana ikawa rahisi kumbadili dini irene kuwa sheila Ushahidi kadi ya mwaliko wa shughuli yenyewe. Soon picha ya bwana harusi itapatikana tu
6 Reactions
118 Replies
25K Views
Back
Top Bottom