Mrembo kutoka Rwanda anayejulikana kwa jina la shaddyboo ambaye anajihusisha na mambo ya urembo pia ni video vixen ndiye mrembo mpya wa msanii diamond ambaye anaziba pengo la wazazi wenzie na...
habari wadau..
nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni...
Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema...
A.k.a Simba, kiukweli umetisha sana kwa jambo kuu moja, Binafsi nakupongeza sana Diamond Plutnum Mtoto wa Tandale.
Jambo kuu lenyewe ni ili la kuwa makini sana katika Maisha yako, nazungumzia...
Wale Wakwe za kijana wetu huko Kwa majirani zetu wamekamatwa kwa tuhuma za kukwepa kodi za Mabilioni. Namuona kijana akirudisha timu bongo kimya-kimya.
wana jf.
katika vijana wajanja dar es salaam Diamond kwa kweli uenda akawa number one kwa vile aliko toka mpaka alipo kwa kipindi cha miaka kumi amefanya mengi mno hadi kumchukulia bwana mtu...
Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana
Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu...
Tofauti na ile sikati tamaa,nishike mkono,weekend,na mziki nyingine zote anazotoa siku hizi sijui achia njia,relax ni utumbo mtupu anatakiwa atulie ajipange upya
AFUNGUKA KILA KITU
DIAMOND Platinumz ni mwanamuziki mkubwa Afrika, inatajwa kuwa msanii huyo ana timu nzuri nyuma yake ambayo imemwezesha kupata mafanikio mengi makubwa.
DIAMOND
Ukiachana na...
Umofia Kwenu wana JF,
Kwanza niwatakie heri katika siku hii ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu JK original.
~Nilikuwa naangalia Movie ya set it off(1996) ya kina Vivica uwa naipenda sana...
Inaonekana watanzania wengi mnapenda kujifunza lakini ni uongo umetujaa tu.
Mara nyingi unapotokea ubishani hususan katika masuala ya kimziki haswa kati ya team Diamond na team Kiba utasikia...
Ukitaka mziki wa kuelimisha matafute Maalim Nash mc or
Tamaduni music kwa ujumla mziki wao unaelimisha me nshaelimika kitambo kuanzia enzi za sunday school
shuleni pia nlielimika na bado...
Diamond asema alilipwa shilingi milioni 100 ili kutumbuiza jukwaa moja na Alikiba katika show ya ‘Kiboko Yao'.
Mashabiki wengi wa muziki wa Bongo wanatamani siku moja kuwaona Diamond na...
Ndoa ya leo ya Dr. Mengi na K-Lynn ni ya kweli? au ndio tusubiri siku Dr. Mengi ajekuita waandishi wa habari na kukanusha tena kuwa ni uvumi tuu?
Street is talking kwamba ndoa ya Dr. Mengi na...
Msanii Harmonise amesema mahusiano yake na Huddah wa Kenya yalimtatiza sana
anadai kuna kazi walikuwa wafanye na kukubaliana ili kuipa kiki kazi akapost video wakiwa pamoja mtandaoni, watanzania...
Wakuu salute sana, kumekuwa na tetesi za Harmonize kuhama WCB, japo hakuna tamko lolote toka WCB au Kondeboy kuhusu kung'atuka WCB.
Kuna mtu anazungumziwa kuwa ndo master mind architecture wa...
Pamekuepo na taarifa za mara kwa mara za mmoja wa wanamuziki wa WCB Harmonise kuondoka au kutaka kuondoka katika lebel yake hiyo iliyomtoa na kukuza.
Binafsi baada ya kusoma mijadala mingi uko...
Jna hapa Moshi kulikuwa na uzinduzi wa Club hapa town maeneo ya Kuringe, sasa cha kushangaza huyu bwana alilewa bwiii, kiasi kwamba hata shoo yenyewe haikuwa tam kivile. Sasa nakushauri punguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.