Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mmoja wa wasanii wanaounda Kundi la The Mafik, ajulikanaye kama Mbalamwezi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Msanii mwenzake wanaounda kundi hilo Hamadai amethibitisha. Caption: Msanii...
4 Reactions
180 Replies
47K Views
Dogo ameigiza kama Tupac kwenye movie inayohusu maisha ya Tupac Shakur itwayo " All Eyes on me" . He is a typical Tupac look alike. Kwenye interview yake anasema his dady ( who is a.Music...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Fella anasema habari za Harmonize kuondoka Wasafi hata wao wanazisikia mitandaoni. Ila kama anaona amekuwa basi wao hawawezi mzuia kutoka Wcb. Amemuomba aage akiondoka.
3 Reactions
262 Replies
30K Views
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani? Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu? Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize...
3 Reactions
112 Replies
11K Views
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
5 Reactions
624 Replies
123K Views
Habari za muda wakuu, Katika kusikiliza na kusoma lyrics za ngoma ya Diamond Platinumz Ft Fally Ipupa inaonekena aliamua kufikisha ujumbe kwa mzazi mwenzie huyo. Tuanze hapa "Una pesa kama...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Hii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]... Btw wacha tusubiri baby...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Wale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat 1...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Katika tamasha linalofanywa usiku huu wa tarehe 10/08/2029 Uko nchini Marekani New York. Harmonize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia nchini Marekani katika tamasha la Oneafrica_Musicfest. Uku...
0 Reactions
88 Replies
17K Views
Fareed Kubanda aka Fid Q ameikacha rasmi kambi ya makapera aliyodumu kwa muda mrefu, baada ya kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka 2019 na mchumba wake aliyemtambulisha mwaka jana. Rapa huyo kutoka...
4 Reactions
91 Replies
22K Views
Binafsi nampongeza kijana wangu wa Mtwara, Konde Boy kwa mafanikio aliyoyapata kupitia WCB kama kaamua kujitegemea ni jambo jema ni vema wamruhusu tu dogo akatafute sio kesi kama mkataba wake...
2 Reactions
76 Replies
10K Views
Tumezoea wanamuziki tunao waona wakiingia kwenye Nominations nyingi za Tuzo za nje ni hawa wanaoimba ila katika Nominations zilizotangazwa Jana na AFRIMA Msanii Rosa Ree ambae ni Rapper wa kike...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania baadhi sio wote story zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao. Wasanii wengi utasikia niliishia kidato cha pili hata hawaeleweki...
2 Reactions
80 Replies
11K Views
aisee nianze kwa kuwasalimu wanajukwaa Khalid Robinson ni msanii wa kimarekani ambaye anaujua muziki kwa kweli...Kipaji chake anakithibitisha ndani ya tungo zake mujarabu kabisa hadi sichoki...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Mtangazaji na mjasiriamali maarufu mjini, ambaye pia ni mzazi mwenzie na marehemu ruge, amepost kwneye ukurasa wake wa instagram, project yake mpya ambayo ni ujenzi wa Nyumba yake ya tatu mpaka...
10 Reactions
126 Replies
25K Views
Heshima mbele, nimepata tetezi kuwa wasanii hawa nguli Barani Afrika wamealikwa kutumbuiza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani. Kama ni kweli nawapongeza mno...
3 Reactions
72 Replies
12K Views
Jana ilikuwa siku ngumu sana kwa tasnia ya mziki Afrika hususani nchini Congo na Ivory Cost. Hii ni baada ya mwanamziki na DJ maarufu sana kijana DJ Arafat kuaga dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki...
4 Reactions
48 Replies
12K Views
Ange Di Huon maarufu kama DJ Arafat, msanii maarufu kutoka Ivory Coast amefariki dunia leo, Agosti 12, 2019 baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki usiku wa kuamkia leo. Mfalme huyo wa...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
First things first, lest this gets misconstrued as a hate post - His penmanship is peerless and I wouldn't be able to do this if I didn't at least peep the music. Heard an interview or two last...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hv ule msemo wa kila nabii na zama zake unaweza ukawa unafanya kazi hata kwa wazungu..? nmekuwa nikifuatilia sana mziki wa hawa jamaa (westlife) tokea siku nimewajua mpaka sasa hawajawai nikinai...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom