Aman iwe nanyi wapenda
Dj arafati kasepa zake kwa sir god
Tangulia dj tutaonana kwa sir god
Mchizi kapata ajali jana usiku kwenye boda boda baada ya kugongana na gal uso kwa macho
Inasemekana...
Ni suala la muda tu, hali si shwari sana kwa mwenendo wa hii lebo!
Baada ya Mavoko kuondoka, tutegemee msanii mwingine kuondoka hivi karibuni!
Inaonekana kuna watu ambao pengine hawana nia njema...
Assalam aleykum bandugu,
Maisha yanaenda kasi sana. Vitu vinatokea ila hatuwezi kuzuia siku zisiendelee na maisha yasichukue nafasi yake! Basi hebu tuzungumzie muziki wetu kidogo hasa upande wa...
Asalaam Alykuum wakubwa.
Kumekuwa na kasumba moja kwenye kiwanda cha mziki wa bongo flava, kuwa pale inapotekea msanii akawa na spot light kubwa anaanza kupambanishwa na Diamond haijalishi huyo...
Napenda mziki mzuri na video nzuri.kwa ufupi Hawa jamaa(Diamond na Fally Ipupa)wanajua Sana kuimba na kutoa video kali Sana ila ya inama ni video mbaya Sana labda walikua wanaogopa...
Here are 12 beautiful celebrity interracial marriages that stare us in the face
Prince Harry and Meghan Markle
The most recent of all celebrity inter-racial marriages has to go to the Duke and...
Huyu bwana mdogo kwa upande wangu namwona kama ndo msanii mwenye kazi nzuri zaidi kibongobongo kwa sasa..
√ Uandishi ulioenda shule
√Melody
√Clean lyrics
Everything top notch
Sema music...
Mwaka 2018 ndio unaishia hivyo na kwenye kiwanda cha burudani haswa bongofleva tumeshuudia mengi yakukumbukwa.
Kikubwa zaidi ni msanii Harmonize kufanya maajabu na singo yake KwaNgwaru, hakuna...
Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje...
Hii thread ni baada ya minong’ono ya Harmonize kuondoka WCB kuzidi kupamba moto , narudia tena ni baada ya Minong’ono maana mpaka sahizi hakuna official statement kutoka pande yeyote ile .
Sasa...
Hawa Miamba sijapata kufahamu historia zao ila inshort nikuwa walikuwa wanajihusisha na mziki labda walikuwa maproducer, wanamuziki au hata mameneja wameacha legacy nyimbo ya zamani bila kusikia...
tajiri ambae pia ni gavana wa Mombasa, Kenya ambae anaefahamika kwa jina la Joho kashutumiwa Mara kwa mara na watu wengi tofauti kuwa anahusika na uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, hata...
Tunasikia habari mtaani kwamba Harmonize na menejimenti ya WCB Wasafi haziivi kwa sasa. Lisemwalo lipo na sisi tuliopembeni tukiunganisha matukio tunaona kabisa kuna kitu hakipo sawa japo wenyewe...
Although the Obamas are no longer in the White House, they are still the most admired people in America as well as across the planet.
According to a recent survey conducted by YouGov, Barack...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.