Maisha yanaenda kasi mno kwetu sote. Eti imefikia hatua juma nature analilia collabo hadharani na Rayvanny.
Soma hiyo comment ya nature hapo kwenye picha kaamua kumwaga ugali anamwambia Rayvanny...
Wasalaam
Msanii wa muziki wa kufoka foka bwana Niki Mbishi akihojiwa na moja ya chombo cha habari aliulizwa mbona mwaka huu hajapata show yeyote ile hata kwenye tamasha la wasafi kama mwaka jana ...
Almost a score back, the rap game witnessed probably the biggest rap beef in its history, Nas vs Jay-z. Many believe that Jay-Z lost that battle, I do so myself. Many believe it’s ether that ended...
Harmonize ametoa remix ya Kwagwaru akimpongeza na kumsifu Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi.
Kwa huu wimbo sitashangaa Magufuli akimpa shavu la kuelewaleka Harmonize.
Nipo nasikiliza kipinda flan hapa home kinachoitwa #weekendfever ninachovutiwa ni mziki tu unaopigwa hapa ila huyu mtangazaji cjajua n kwa nn amefanikiwa kupata kazi/kapewa kipindi na wakati hana...
Michael Kalinda aka Ziggy Wine who died at Mulago National Referral Hospital in Uganda. PHOTO | COURTESY
Yet another close associate of Ugandan opposition politician, Robert Kyagulanyi aka Bobi...
Achana na sasa kuwa nyuma ya mafanikio ya mdada anayezaa na watu matajiri tu hamisa mobetto
Huyu jamaa ashawahi kuwa nyuma ya watu wengi tu kwa mafanikio kama kina yound D
Kingne ni uwezo wake...
Michelle Rodriguez mwigizaji wa Amerika, nyota wa mfululizo wa Tamthiliya Waliopotea, Haraka na hasira,Uovu wa Makazi, Avatar.
Wasifu
Alizaliwa mnamo Julai 12, 1978 huko Texas katika mji wa San...
Muda mwingine unaweza ukashangaa kwa nini nimeumbwa hivi,kumbe kuna makusudi ya dhati kabisa usiyoyajua ili kukupungizia spidi ya aidha ya roho nzuri au mbaya uliyonayo dhidi ya mwanadamu mwenzako.
Nimeona video irene kapost insta akipokea baraka kutoka kwa wakwe zake, video inagusa sana, amejishusha mwenyewe na kujinyenyekesha kama mtu vile, ila bongo movie kwa kuigiza tu hamjambo, mxiew...
Msanii wa mikato ya bongo fleva juma-jux,kupitia account yake ya mtandao wa kijamii uitwao instagram ameweka picha inayoonesha mjengo wake mpya...
Swali langu; kumbe siku hizi mziki wa bongo...
Mwanamitindo huyo maarufu kutoka uingereza aitwae Naomi ameibua hisia kubwa kwa mashabiki wa Tanzania baada kupost akisikiliza wimbo wa mkali kutoka tz diamond uitwao inama issue aikuwa hii issue...
Kwako Kilewo wangu,
Kwanza kabisa nakushukuru sana kwa uwepo wako katika Maisha yangu, UPENDO wako wa awali ulinifanya nione hakuna kama wewe hapa duniani. Ulinipenda, ulinidekeza, ulinijali...
hiv huyu kijana anashindwaje kun'gaa wakati ana anatoaga ngoma kali na zenyeh unique ambapo uwezi ukapata kwa msanii yoyote kiukwel kabisa sijaona Tanzania msanii mwenye kufika hata robo ya uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.