Mmh mbea mimi toka nione ray c kaenda Paris nikajiliwaza huenda itakua vacation tu ya siku mbili then anarudi bongo tuendelee kula msoto wote, jaman nyie Mungu mkali, Mwaka sasa unakatika bibie...
JAY MO na MWANA FA WALIMPOTOSHA DJ NELLY WA CLOUDS FM MWAKA 2003/2004 AKAGOMA KUNIPA PROMO WIMBO WANGU WA "NIMEPATA DEMU" LAKINI ROZI CHITARA(Radio One),SHEIZA (Eastafrica radio) NA NIKO...
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya hawa wasanii kuwaimbisha watu waliotoa viingilio vyao kwenda kuwaangalia wakiperform kwenye stage.
Binafsi naiona hii tabia kama kero na dhuluma kwa mashabiki na...
Kuna wakati kwenye maisha unaweza kuona kama vile kuna watu ambao wana uwezo MDOGO kuliko wewe ila wamepewa NAFASI kubwa unayostahili wewe. Ukijipima kimoyomoyo unasema “yaani hata sielewi kwa...
Jamaa anajua Sana kuitendea haki stage show ya Jana kwenye wasafi alifanya balaa zito na alifanya mchanganyiko ngoma zake za slow aliimba live band na nyimbo zake za kuchangamsha aliimba...
Najiuliza Swali Kwenye Haya matamasha Ni Nani Anahusika na kuhakikisha Kuwa Mazingira Yanatunzwa wakati wa Tamasha na Nani Anahusika na Afya Za Watu?
Juzi Jumamosi Nilikuwa kwenye Tamasha La...
Jana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma
Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu
Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata...
Ila usiku wa Jana tukinao ulijua kutia aibu kwa kweli, hata kama mlichukuliana mabwana, kumnyari dada wa watu na kumuangalia kama taka taka infront of such a huge crowd it’s so disgusting and...
Usiku huu nimewaza tu kama wasanii wetu wangekuwa na Ukwasi na Umaarufu kama alio na aliokuwa nao Michael Jackson wangekuwaje na ingekuwaje?
Mtu ambaye wimbo wake mmoja kwenye You tube unaweza...
Kama na wewe ni mmoja kati ya wanazengo waliokua wanamponda Muigizaji bei mbaya, Irene Pancras uwoya, kwa kitendo chake cha kupiga picha kila wakati akiwa amepozi nyumbani kwake na nguo tofauti...
"Kila nikiona kibinda nadinda nakitia mimba" Moja ya mstari kwenye ngoma zake.Je unadhani kuna demu yeyote wa kumzidi msambwanda na mahips huyo demu wa Nikki kama yupo weka picha yake humu...!!
Bila salamu na kwa uchungu na masikitiko,Nani asiyependa kuona chuchu za Irene?Mnafikiri mimi sipendi kuona chakula ya zamani ya home boy Janjaroo si ndio??Inauma sana kunyimana hii video sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.