Habari zenu wadau wa jukwaa hili,natumai mko vyedi kabisa,,Clouds FM kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ina vipindi 7 ukijumlisha na Night kali ya Dj Elly the big Dady vinakua 8 including(Power...
Huyu jamaa Hit maker wa Pii pii yuko wapi?
Alitisha sana mwaka 2008/2009 lakin alipotea baada ya uchaguzi wa 2010!
Moja ngoma zake,
1. Pii pi
2. Rita
3. Sorry sana
4. Daima na milele
5...
Looking at the way he lives u can easily say that this guy is filled with positive energy and positive energy only.
He is himself. He lives in the present. He doesn't give a damn about his future...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha Waandishi wa Habari wakati wa Kikao...
GNAKO ni msanii mzuri sana kila mtu anajua hilo, na ni msanii ambaye amekaa kwenye game kwa mda mrefu, ameanza muziki akiwa kwenye group la N2N na baadae akajaribu kuwa solo kabla ya kuja kuungana...
Wakuu Habari Ya Uzima, Nina Wazo Moja, Tanzania na Dar es Salaam Hatuna Ukumbi Mkubwa Wa Kufanyia Matamasha Makubwa Hasa Burudani Mbali Mbali Kuchukua Nafasi Ya Leaders Club.
.
Sasa Wadau wa...
Miaka ya 2008 mpaka 2012 ukisikia jina JOH MAKINI unapata picha ya nguli wa Hip hop ambaye alipendwa na wagumu pamoja na mademu at the same time. Joh makini ni msanii wa hip hop ambaye ana vitu...
katika ukurasa wake wa instagram hajamfollow mtu yeyote akimaanisha kuwa hana cha kujifunza wala kuangalia kwa wenzake na mdogo wake nae abdukiba ndio hivyo hivyo, jamaa ana roho mbaya sana ndio...
Habari zenu wananzengo,
Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music...
Ila na wewe Mbasha itakua kweli unabakwa, we mwanaume gani kila Siku unachambana na akina carrmastory mara faiza mmhm, wanaume hawanaga tabia hizo bwana , kuchamba tuchie sie akina warumi...
Huyu msanii uwa najiuliza cipati majibu madensa,wasanii wake,maproducer,wapiga picha,wachumba,watoto wake,managers,bodyguard na familia yake yote famous.
Hii nguvu anaitoa wapi,mbaya zaidi ukiwa...
Mc wa taifa leo anaoa..juzi ndo ilikua send off
Harusi ya taifa,uwanja wa taifa
Ila taifa lina mambo mengi saaana hadi mengine hayakumbukwi!
Hongera mc pilipili..Mungu aisimamie ndoa yako ijae...
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua...
Aman iwe juu yenu
Yes is onether Friday siku ya kufurah na kuenjoy
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja au siyo mazee
Anaitwa Joseph haule ni msanii na mbunge wa mikumi
Bila Shaka watu...
Habarini Wadau,
Nimewakumbuka sana The Kilimanjaro Band, hasa ngoma yao ile ya "Kachiri" "Tulizana Mpenzi" wananjenje na "Boko"
Hasa kiswahili kizuri kilichotumiwa na yule mzee na pale pa...
Ila wanazengo huyu mbwa kajua kutuumbua wambea sie, wenzao tulijua ndoa ndo kushnei kumbe mapicha picha tu wanatuchezea, mxieew ... sasa lulu na wewe kujichetua juzi na ma video kujifanya una...
Amekamatwa na Idara ya Polisi ya New York kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya kuwatumikisha kingono. Ametiwa nguvuni wakati akiwa katika Jimbo la Chicago
Mwanamuziki huyo wa...
Wangapi walikua wanasubiria engagement ya tanasha na domo kama mimi ?, by the way nilijuaga wakenya wakogo smart kuliko mademu wa tized, ila now it’s confirmed they are all the same , they are all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.