Hi Guys,,
I Hope Mko Gud,,,Right?
Ok Freshhhh,,,
Sikumbuki vizuri Hili bifu la hawa miamba wawili wa Bongo flava lilianza lini ila ninacho jua tu bifu lao lina muda mlefu kidogo,
Kusema ukweli...
Kwa wale watazamaji wa series ya game of thrones kuna mwanadada anajulikana kama Daenarys Targaryen ambaye jina lake halisi ni Emilia Isabelle Euphemia Rose Clarke, raia wa Uingereza kazaliwa...
Ni mchezo mchafu ambao sasa umeanza kuoneshwa wazi baada ya kuwa unazungumzwa na baadhi ya mastaa wa muziki wa bongo flavour na hata baadhi ya waigizaji wa filamu za hapa kwetu Tz,,,,,ipo mifano...
_
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewataka watoto wake kwamba akifariki wahakikishe anachomwa moto.
Afande Sele amewataka watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni zawadi ambayo...
Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Marlaw amepotea kwenye ramani ya muziki wa Bongo Fleva, hasikiki tena, licha ya kutoa nyimbo mpya kila siku, lakini hapati tena kushikilia chati za redio kama...
Habari wadau..
Diamond Plutnumz japo hajaenda sana shule ila ndio smart boy kulilo wote niliowahi kuwaona Tanzania.
Amekulia Tandale na amekuwa bilionea bila kumuibia mtu, kula rushwa wala...
Hvi kumbe lile bifu la dada Jide na domo liliisha? Maana hawa nao walikua hawapatanagi, mmh nimefurahi kumuona jide kwa mara ya kwanza kwenye event inayomhusu Diamond, kweli dada jide siku hizi kakua
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either...
Wanaume wa Tanga kwa kupenda mitelezo hamjambo, mwenzenu kakimbilia kwa bibi yake kisa hela, kazi hamtaki kufanya mnataka kuteleza tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ningekuwa Diamond walahi huyu...
Siku ambayo atakuja kuhukumiwa huyu dada watu mnaweza msiamini lakini ukweli ndio huo
Binti baada ya kutafutiwa dhamana akatoka, ilitakiwa kwa sasa atulie aweke mikakati ya kupambana na hii kesi...
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amezua kizaa zaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akigoma kukamatwa na polisi baada ya mahakama hiyo kumwachia huru na kisha kumkamata tena na kumuweka...
Huyo ndie Mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa zaidi anaitwa @noelgiotz wa tz wote saport yako ndio itamfanya azidi KUSONGA mbere zaidi ku like sana kazi zake na kupost sana kwenye pejizenu...
Zari taratibu na hiyo kiu yako ya ndoa, bwana atapepea huyo akuachie jina tu ubaki Mrs hewa, haujifunzi tu? Kwa Diamond hivo hivo Mrs Dee Mrs Dee ukanunua na lile sijui joho sijui gauni nyuma...
Nilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa.
Sasa...
Haka kamamii by the way kametulia, I like how she entertains no drama , she is just her and her world, she is not trying to compete or compare with any of her boyfriend’s ex, that’s Tanasha for...
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.