Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Happy born day beautiful onyinye usiyekuwa na mpinzani bongo movie kwa swaga matata.
0 Reactions
34 Replies
16K Views
MWANAMUZIKI maarufu duniani, Mwingereza, Edward Christopher Sheeran, maarufu kama Ed Sheeran ametangaza kuwa atapumzika kazi hiyo baada ya kuifanya kwa muda mrefu. Ametoa kauli hiyo alipokuwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni siku chache zijazo, tutaanza kuzisikiliza nyimbo za Harmonize bila kibwagizo cha ‘Wasafi Records’ na ‘Eyo Laiza’. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Rajab Abdul Kahali ameandika barua...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari zinasambaa mtandaoni kuwa Mzee Ibrahim Kaduma amefsriki huko India alikokwenda kwa matibabu. Mzee Kaduma alikuwa a staunch supporter wa Mwalimu Nyerere. Mimi nimemfahamu alipokuwa Vice...
7 Reactions
23 Replies
6K Views
Muda mrefu nimejiuliza hili swali sijapata jibu mwenye kufahamu gwiji la muziki wa reggae senzo yu wapi wadau?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
GEORGE WEAH MWANASOKA BORA WA DUNIA,ULAYA NA AFRIKA 1995. Leo 13:15pm,29/06/2019. George Weah akitokea ligi ya Liberia,moja kwa moja hadi klabu ya Monaco,baadae kuelekea club ya Paris St Germain...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Ile kauli kua you can't have it all hapa Tanzania haina nafasi. Huku Tanzania wasanii wetu wana kila kitu. Utunzi, uimbaji au uigizaji, uandishi, uongozaji, mapambo na kila kitu. Wasanii wetu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Masaa machache tangu mbunge Sugu amvishe Pete mchumba wake , aliekuwa Ex wake na mama mtoto wake Faiza Ally amuombea uchumba wake uvunjike ili arudi kwake kwani Bado anampenda Sent using Jamii...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Aliyewahi kuwa mpenzi wa Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) Faiza Ally apagawa na madanga anayoyapata akienda China mara kwa mara. Faiza amefunguka kuwa anapata madanga hatari ambayo hata akiwatajia dau...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Ama kwa hakika ukiwa mtu wa watu wala hutumii nguvu. Kila la heri Mh Mbunge wa milele wa Mbeya Mjini
9 Reactions
62 Replies
11K Views
Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa...
7 Reactions
102 Replies
18K Views
J
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Sherehe ilifana sana viongozi kiba wahudhuria akiwemo rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi. VIONGOZI mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi...
6 Reactions
117 Replies
30K Views
Direct to the topic,Wanajamvi wa Jukwaa hili mmekua mkichukizwa Kinyama na nyuzi za uyu chalii 'WASSAPE',,nakupelekea wajombii Wengine kudiriki kuniombea Ban, Mala Uzi ufutwe yote ni yechu tu Me...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Mbunge wa mbeya mjini leo kafunga ndoa kanisa katoliki rwanda mbeya mjini
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jina la Kiraia Marshall Bruce Mathers III Jina la kisanii Eminem Nchi Marekani Alizaliwa 17 Oktoba1972(umri 44) Aina ya muziki Hip Hop Gangsta Rap Midwest Hip Hop Detroit Hip Hop Horrorcore...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Katika Maisha Ukisema ukatae Mtoto Ni kama Vile Laana utaona Mambo yako hayafanikiwi kumbe wewe ndo unamakosaa!! Naomba Msamaha sana kwa Mchumba wangu #SARAH_TZ Kiukwelii sikujua why nimekukosea...
7 Reactions
86 Replies
18K Views
Kuna watu bhana wanauliza huyu WASSAPE ndo nani??Mbona Issac Newton,Vasco Da Gama,Christopher Columbus unawajua?Sasa utaachaje kumjua huyu mwana!? @NgarenaroBoy.
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom