Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtihani mzito kwa Konde boy, anatakiwa atoe billion 1 ili apewe copyright ya nyimbo zake na kuachiwa account za youtube na Instagram. Kwa hiyo kisheria na kibiashara Harmonize bado ni msanii wa...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Kweli hawa jamaa nimeamini ni wanfiki siku za nyuma wamewahi kuonesha unafiki kwa wasanii wengi akiwemo Afande Sele, inashangaza sana kutokuwepo kwa jina la FID Q katika list itakayo sherehesha...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Msanii diamond platnumz amekiri anamiezi zaidi ya 3 hajatuma matumizi ya watoto wake South kwakuwa mzazi mwenzake Zari haonyeshi ushirikina wa kumpa kuongea na watoto wake Tiffah na Nillan...
3 Reactions
105 Replies
14K Views
Paolo Maldini mmojawapo ya mabeki hodari katika historia ya soka anastaafu mwisho mwa msimu huu.Amechezea mechi zaidi ya 900 kwa muda wa miaka 24.Pamoja na mafanikio yake yote lakini hakupata...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf.. Leo nikiwa nasikiliza muziki wa bongo fleva nikawaza mbali sana kuhusu ma legend wa ukweli wa mziki wetu. Hapa nimepanga list ya wanamuziki na nyimbo bora za muda wote...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Ukiachana na kina jaydee, ray c , saida karoli, mama stara thomas na pengine kwa mbali kina rosa ree, sister p na zay b ni wasanii wengi sana wa kike wakivuma kwa hit song moja ndio wanapotea...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Mimi ni mtu ninayeamini kuwa changamoto kubwa katika sanaa ya Bongo inaanzia kwa wasanii wenyewe ingawa serikali inachangia sana kwa kiwango kikubwa kuwadumaza, na hii sidhani kama wanasiasa...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Waafrika mbumbumbu sana inapofika suala la kuiga mambo ya kizungu hadi kufikia kuwa kichekesho, sasa baby shower ya mtoto mtu kafanya ya makungwi. Ndo utajua tofauti ya mtu mwenye pesa na mtu...
6 Reactions
85 Replies
12K Views
Eeehh ndio msimu umeanza, ni msimu wa tamasha la muziki lililoanza kwa muda mrefu, lengo sio kuzungumzia msimu ila "Kicheko" al maarufu Kicheko mtata mwamba ikifika kipindi hiki cha msimu ndio JD...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna kipindi Fulani kiba alikuwa anafanya vizuri Sana na ushindani wake na diamond ulikuwa mkubwa Sana ila kwa sasa umepungua sana kwa miaka hii miwili ngoma zake zimekuwa hazifanyi vizuri japo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Inawezekana kinachozungumzwa na wengi kuwa Mkurugenzi wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz hajapendezwa na kuondoka Harmonize kuondoka kwenye lebo hiyo kuna ukweli. Siku za hivi karibuni kumekuwa na...
6 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa wale wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi, wiki iliyopita sijamsikia kabisa Paul James Swea kwenye kipindi cha Jahazi, pia Captain yuko china badala yake namsikiliza Wasi wasi Mwabulambo ambae...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mmh jaman huyu cheusi dawa jamani ndo kutuvalia nini hivi kama anaishi Tandale kwa tumbo wakati yupo Denmark , mxieew , Yan shoga angu mshamba huyu mpaka anaudhi Sijui lipoje mxieew, minguo gan...
7 Reactions
70 Replies
16K Views
FIESTA kwa sasa inaweza isiwe na mvuto sababu kwanza wasanii wakubwa wa Tanzania hawataperform Alikiba Diamond Vanessa Navy Kenzo la pili FIESTA ilikuwa zamani mnasikilizia nani msanii Mkubwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Shikamoni wakubwa, wadogo malhaba!! Huu ndyo mwonekano mpya wa mwanamuziki Vanessa Mdee. Toa koment yako juu ya uvaaji wake, je ni utandawazi au ni ushamba wangu?
0 Reactions
136 Replies
28K Views
Hello wanajukwaa,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,napenda kuthibitisha kwamba bila Diamond platinumz instagram Tanzania ingekuwa imepoa sana,kwa nini nasema hivyo?hebu angalia hizi facts...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
aliyekua mtangazaji wa singeli na mchekeshaji kicheko achukuliwa na mahasimu wao clouds fm hawa jamaa sijui lini wataacha maugomvi yao ya kuchukuliana watangazaji
8 Reactions
173 Replies
31K Views
Marlaw ni msanii wa Kiume ninayemkubali sana hapa Tanzania aisee maana anajua sana kuimba anajua kupanga mashairi yake aiseee huyu mwanaume, na wala hana makuu kabisa Sasa hebu angalia na...
4 Reactions
24 Replies
41K Views
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya siku ya leo Jumamosi afunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingi PICHA PAMOJA : Ben Kinyaiya na Mkewe Katika Private party yao baada ya kufunga...
16 Reactions
421 Replies
102K Views
Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.
13 Reactions
876 Replies
73K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…