Wanaita 'star look' right? YES!
”Leo kwenye ustaa simo kisa sina mwonekano!” ~Msodoki.
Sikuwahi kuwaza hili, japo hisia tu na kuona kila 'msanii' anahangaikia mwonekano fulani. Iwe ni msanii wa...
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana...
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa...
KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA.
Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa...
LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU...
Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection...
Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,
1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.
2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza...
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.
Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake...
Mpenzi wa zamani wa TigerWoods, EricaHerman, amefungua kesi Mahakamani akitaka kulipwa Dola Milioni 30, baada ya kufukuzwa nyumbani walipoishi wote kwa takriban miaka 6.
Erica amesema Woods na...
Ni zamu ya Irene uwoya kutunukiwa tunzo ya u BOSS LADY apa bongo baada ya aliyekuwa akimiliki tunzo hiyo mwaka Jana wema sepetu kuangukia pua kama sio kichwa na kufulia , awali tunzo hyo iliwahi...
Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii,
Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla...
Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani
Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron...
Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya...
Unamjua "KANYABOYA"?
Kanya Boya alikuwa bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Burundi. Bondia huyu, jina kamili Felix Kanyaboya alikuja Tanzania kati ya Miaka ya 1986/1987. Alikuwa anafikia Hotel za...
Kwa dakika 20 tu nilizomuona akihojiwa Cloudstv 360 on Saturday hivi punde tu huyu Dada Mjasiriamali na Mwanaharakati Carol Ndosi si wa ' level ' ndogo na ya Kiswahili Kiswahili bali ni Dada...
Kwenye pen game hakuna msanii wa kike wa bongofleva amewahi kufikia uwezo wa Zuchu toka bongofleva izaliwe nasema hakuna.
Jide ni msanii mkali, anauwezo mkubwa kafanya hitsong nyingi namheshimu...