Picha hapo chini zinajieleza huyu mwanadada Witnes mwenyewe hupenda kujiita kibonge mwepesi dizaini kama kaanza kuiga mikato ya Gigy money na Amber lulu kupenda kupiga picha huku sehemu kubwa ya...
wanaotutendea mabaya, wanaotutesa,
wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia…..
Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema
watu wengine, wanasaidia...
Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu.
Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi...
Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake!
Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika...
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena ! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake ( jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na...
Hollywood superstar Idris Elba has been granted 80 acres of land in Zanzibar to establish an international film studio.
The announcement was made on Thursday, August 1, during the 27th...
Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni...
Saga la Marioo na Chino Kid linaendelea kuchukua sura mpya, huku Marioo akielezea hisia zake kuhusu uhusiano wao wa zamani.
Marioo ametaka mashabiki kumuuliza Chino ni wapi alikosea, akisisitiza...
Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo...
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange...
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu.
Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia...
Mambo yanatishaa sanaa,
Yaani ukikaa ukafuatilia matokeo hasi waliyokumbana nayo wanadada utabaki mdomo wazi, kama malaya kaona dudu. Hapa nazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya mabinti...
Habari wakuu,
Mohammed Ghulam Dewji, ameendelea kuwa top kwenye suala zima la utajiri nchini Tanzania. Licha ya bilionea huyo kuchukuliwa poa nchini ila ndio bilionea no.1 kijana barani Afrika na...
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam...
Leo Tarehe 08/01/2021 Kupitia Ukarasa Rasmi Wa Instagram Wa Kondegang Umethibisha Mkataba Wa Country Wizzy Na Kondegang Umefika Tamati ...,
Kuanzia Sasa Country Wizzy Atakuwa Msanii Anayetegemea...
Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini...